DOKEZO Madaktari wa kizazi hiki mnatia aibu sana

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Naona unawakandia ma CO as if hao MD wanategemewa wawe malaika.
Pole sana. Deal na mtu sio category.
 
Naona unawakandia ma CO as if hao MD wanategemewa wawe malaika.
Pole sana. Deal na mtu sio category.
Sijakandia category yoyote mkuu.
Ila kikawaida huwezi tegemea daktari specialist labda awe the same level na MD.
Vivyo hivyo, kuna vitu ukikuta CO ndo anafanya unaweza samehe, lakini vitu hivyo hivyo akifanya MD unashangaa.
 

Hata ye ni ninadamu mkuu

Saa tisa usiku kumbuka yeye yuko pale toka asubuhi

Pili kama we ni MD ungejitambulisha tu ungetoa ushirikiano na uzoefu wako..

Daktari ni binadamu kama wew sio robot
 
Ni huzuni kuu.
 
Hata ye ni ninadamu mkuu

Saa tisa usiku kumbuka yeye yuko pale toka asubuhi

Pili kama we ni MD ungejitambulisha tu ungetoa ushirikiano na uzoefu wako..

Daktari ni binadamu kama wew sio robot
Najua yeye ni binadamu. Na nimewahi kuwa kwenye nafasi yake, mimi nimewahi kuingia shift mfululizo night hadi tatu. So, I know the drill.
Lakini kuna vitu ambavyo ni too basics kwa kweli.
Ningejitambulisha kama MD asingekua huru, na ange feel intimidated, ndio maana sikutaka kujitambulisha.
 
Ulitaka kumuambukiza Dr mwenzako corona au,ndo maana MD alisanuka mapema[emoji1][emoji1],alikuwa anajua Kila kitu ila hakutaka kujiingiza kizembe.
Visingizio tu. Maana alikua fully equipped, amevaa mask na kajiprotect vizuri tu. Its more of incompetency ndo ishu kubwa iliyokwepo.
 
Pole sana Dr. Mimi nilitibiwa miezi miwili kwa madozi makali makali tena magonjwa haya maarufu
UTI
MALARIA
TYPHOID
AMOEBA tumboni
Kumbe sikuwa na ugonjwa hata mmoja kati ya hayo bali nilikuwa na corona type 3[emoji3064][emoji848][emoji2827]
Huyo jamaa alinikuta mimi zamu akajifanya kujua saaana sema nkasema huyu hawajui wahaya, nkaamua kumwonyesha
 
Yeah wengi wapo hivyo sikuhizi ata mimi ilinikuta nilimweleza tatizo hata kuangalia hapana akaandika dawa za laki nne, nikaenda pharmacy napo nikajieleza kwa muhudumu wa kiume akanichek

Akaniambia nimeandikiwa dawa kubwa kwa ugonjwa mdogo akanipa dawa ya elfu kumi tatizo kwisha [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Pole sana mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…