Kichuguu
Platinum Member
- Oct 11, 2006
- 17,048
- 22,790
Yeye alikuwa safarini, hakuwa na vifaa vya kupimia, Elewa hilo.Sasa wewe MD ulishindwa hata jua tatizo linalokusumbua kabla hujaenda huko zahanati?
Kingine
Madaktari wengi vijana hawana uzoefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeye alikuwa safarini, hakuwa na vifaa vya kupimia, Elewa hilo.Sasa wewe MD ulishindwa hata jua tatizo linalokusumbua kabla hujaenda huko zahanati?
Kingine
Madaktari wengi vijana hawana uzoefu
Maprofesa wengi wa Medicine ni MD tu.Huu ni uongo unaofana na ukweli labda ungesema kuna mahali kuna shida ila sio kuwa Vyuo vyetu vyote uozo hawa Proff wetu waliojaa vyuoni kwetu ndio hawahawa wamesoma Sijui Calgarly mara KUMAMOTO, sijui Zhengjeng na ndio hufundisha na kuandaa mitaala huku vyuoni inamaana nawenyewe ni UOZO japo wamesoma hukohuko Nje ambako wewe unaona wako vizuri
Mara kadhaa nimekuwa naona Gynacologist sijui Cardiologist(toka nje) wanakuja fanya kambi katika vituo ambavyo nakuwepo pia mbona wengi wamekuwa wakiwakubali sana baadhi ya wataalam wetu wandani wako vizuri!??
Ni ugonjwa gani daktari wako aligundua? Just in nutshelBaada ya asubuhi yake kumcheki mshikaji wangu cardiologist na kwenda anakofanyia kazi, nilifanyiwa vipimo vyote na kupata ushauri na dawa, naendelea poa sasa.
Basi muwe mnakuja kwetu kwa nadikta wa mitishamba dawa zetu hazina sumuSio vijana tu hadi madaktari wazee nao hamna kitu ni vihiyo.
Kikubwa ninachomshukuru Mungu CO nilisoma tanzania ila MD nimesoma Sweden,vyuo vyote tanzania ni uozo .
Tumepoteza ndugu zetu wengi kwa uzembe wa Dr
dadeeki sindano za kurudisha uhai??Ni wakati Sasa kupitia forum ya wanataaluma wenzio muhamasishane kuipenda kazi yenu
Wiki iliyopita manusura nimpoteze mwanangu kwa uzembe wa daktari aliyemu attend mwanzo
Mtoto alikuwa na mafua, kikohozi lakini kila akijaribu kula alikuwa anatapika
Kwa hali hiyo nikampeleka hizi mnazoita polyclinic
Cha kushangaza, naelezea history ya mgonjwa aliposikia mafua na kikohozi hakuona haja hata ya kumchukua vipimo. Alichofanya ni kuandika dawa za centrizen, ya kikohozi na Panadol tu
Dawa hizo hazikumpa ahueni yoyote mwanangu
Baada ya siku mbili baada ya kuona hawezi kula chochote nikaona nirudi tena pale pale wanapofahamu history ya mgonjwa
Nikajaribu kuforce angalua apimwe damu, choo na mkojo (hii ni baada ya Dr kusema mtoto shida.ni mafua tu)
Vipimo vya lab vikaje negative vyote
Siku iliyofuata mchana mtoto akakakamaa, hajiwezi kwa.lolote, kifupi tulimkimbiza hospital akiwa hajitambui na viungo vyote vimelegea hadi kufumba mdomo hawezi
Kwenda hospital ya rufaa, waliompokea.emegency ilibidi waanze na sindano ya.kurudisha uhai (feno)
Vipimo vya awali vikaonyesha alikuwa na homa kali ambayo endapo tunge delay matokoea yasingekuwa mazuri
Hapo ndo nilipochoka.na.kujiuliza.kwanini hii homa haikuonekana.siku zote wakati nilieleza.mtoto kila akila.ana tapika kiasi cha Dr aliyenipokea.kusema tumezembea kumpeleka mtoto hospital mapema
Kuna madktari wanafanya kazi bila.kujali weledi wa kazi yao hasa hasa hivi vituo binafsi ambavyo Zamani tuliviamini
Mwanzo alishindwa kulala lkn baada ya tukio akapona kabisa. Sasa sijui ni ugonjwa gani mkali hivyo na ukipona bila dawaUongo wa mganga ni nafuu ya mgonjwa. Huoni uongo alioufanya umekufikisha asubuhi na hadi sasa unadunda😆
Umesaidia kuongeza ubovu kwenye field kwanini u-hide idendity? unaona kabisa mwezio ameyumba na hiyo digital inampoteza maboya wewe umekaa tuu ili uje umseme huku JF?Kwa hiyo kama nilikua najua naumwa nini ndo ningenunua tu dawa pharmacy, ninywe, halafu nilale?
Ukiwa daktari ukiumwa moyo ukiwa unaenda mbio, inabidi ujisikilize mapigo yako ya moyo mwenyewe, usikilize kama hewa inaingia kwenye mapafu, usikilize pulse rate yako inaendaje kisha ujue shida inayokusumbua, uingie pharmacy, uchukue dawa,, umeze uendelee na maisha yako? Ndo udaktari huo au sio?
Usipoweza kujifanyia hivyo wewe mwenyewe udaktari wako una shida?
Sijakuelewa mkuu, Yaan unamaana gani!??Maprofesa wengi wa Medicine ni MD tu.
Utakuwaje Prof wa Medicine na hujasoma MMED au MSc huko na PhD!??Maprofesa wengi wa Medicine ni MD tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahPole sana Dkt. Mimi nilitibiwa miezi miwili kwa madozi makali makali tena magonjwa haya maarufu
UTI
MALARIA
TYPHOID
AMOEBA tumboni
Kumbe sikuwa na ugonjwa hata mmoja kati ya hayo bali nilikuwa na corona type 3[emoji3064][emoji848][emoji2827]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nilikutana na classmate wangu mmoja MD pale Kinyerezi Park anakula bia kama hana akili, totoz ndo usiseme.
kila mtu ashinde mechi zake.
Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulitaka kumuambukiza Dr mwenzako corona au,ndo maana MD alisanuka mapema[emoji1][emoji1],alikuwa anajua Kila kitu ila hakutaka kujiingiza kizembe.
Huwa nashangaa pia.Huu ni uongo unaofana na ukweli labda ungesema kuna mahali kuna shida ila sio kuwa Vyuo vyetu vyote uozo hawa Proff wetu waliojaa vyuoni kwetu ndio hawahawa wamesoma Sijui Calgarly mara KUMAMOTO, sijui Zhengjeng na ndio hufundisha na kuandaa mitaala huku vyuoni inamaana nawenyewe ni UOZO japo wamesoma hukohuko Nje ambako wewe unaona wako vizuri
Mara kadhaa nimekuwa naona Gynacologist sijui Cardiologist(toka nje) wanakuja fanya kambi katika vituo ambavyo nakuwepo pia mbona wengi wamekuwa wakiwakubali sana baadhi ya wataalam wetu wandani wako vizuri!??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Madaktari wa Tanzania wanafanya jamii izidi kwenda kwenye ushirikina..
Uiiangalia hata kifo cha Membe ..kuna uzembe pia wa madaktari..mtu anaenda hospital anaambiwa Hana tatizo..kesho anafariki...
Naona ukifika umri kuanzia 50 kama Una hela labda ukaishi Europe Tu ndo angala utafikia hata miaka 70..
Huku utakufa huku ndugu zako wanaenda Kwa waganga kuangalia ilikuwaje??
Umemalizaaa kila kituuuu.Tatizo ambalo halipewi uzito au halisemwi especially kwenye kada ya Afya ni hili hapa wengine watasema.
Tuna watoa huduma ambao wamekata tamaa sana na wako stressed sana.. jamii/familia ndugu wanahisi mtu kuwa Dr anapata pesa nyingi sana hata jamii ime-set standard flani kwa mtu akisema yeye ni Dr basi wanajua/wanategemea awe mambo safi financially.
Bahati mbaya kabisa hata wenyewe(Drs, Ns, Phm etc) kipindi wanasoma since grass root waliamini wakifika level hizo .. mambo yao yatakuwa super ... miaka 20imepotelea darasani with high expectation .... Akija kitaa anakutana na mshahara kiduchu ... bellow 1M ... anakutana na tegemezi ya nguvu.
matokeo yake anaenda kazini kutimiza muda wake tuu arudi mtaani akanywe bia.
Hili eneo linahitaji kusoma kila siku ili uendelee kutoa huduma iliyo bora ... changamoto iliyopo nani asome kila siku na majukumu mengine yanamngoja ,.. kwanza anatakiwa atafute pesa nje na eneo lake la kazi ...
Matokeo yake Graph ya uelewa wa conditions huzidi kushuka unabakiwa na shule ya kuegesha mixer uzoefu....
NB. Ni kweli kuna baadhi ya mazingira unaona kabisa hapa huyu jamaa hii condition haijui na anakomaa bila kumpeleka mgonjwa sehemu nyingine akapate msaada....
BTW huku JF/mitandaoni hakuna pongezi kwa Drs, Nurses, Pharmacist na watoa huduma in general .. huku zinakuja lawama tuu .. are u expecting your son & daughters to be alien?
Had more than 500ops in my hand ... kama kuna apreciation ni hawazidi 10.
Any way mimi napenda attitude ya vijana wanaokuja kwenye Game ... hela, hela, shule kidogo ha ha haaa..