Tetesi: Madaktari walio Internship Kutolipwa Posho kuanzia Mwaka Huu

nyumba na chakula!......technically,..kuwakalisha hosteli na msosi wa boarding school...After 5yrs of intense studying & concentration...😡
What's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!
 
Hao madaktari hawana nyumba,labda waseme interns watakaa kwenye ward za wagonjwa.
Watakaa wodini na kula chakula cha wagonjwa. Hiyo ndiyo maana ya intern (wa ndani) ila nawaonea huruma kama hii habari ni ya kweli.
 
Wekeni chanzo cha taarifa basi. tusikurupuke kama tulivyokurupuka kwa kuambiwa kua mfanyakazi wa hotel sinza kateuliwa DED
 
Watakaa wodini na kula chakula cha wagonjwa. Hiyo ndiyo maana ya intern (wa ndani) ila nawaonea huruma kama hii habari ni ya kweli.
Aisee! kwa hiyo watakuwa wanapishana na wagonjwa koridoni, bafuni chooni, jamani huku si kubana matumizi tunaweza poteza hao madokta kama kutakuja gonjwa baya la kuambukiza, hapo itakuwa hasara au faida?
 
Hapa hili suala wamekurupuka sana navyofahamu hospital nyingi tanzania hazina sehemu za hostel au nyumba za madaktari ni chache mno ukitoa MNH,KCMC,BMC zingine hakuna kitu imagine unafanya internship mwananyamala au temeke nyumba watazitoa wapi hili suala waliliongelea mwaka jana lakini ikashindikana kwa sababu hizi hizi sasa hawa wadogo zetu wanaoanza internship mwezi wa 10 haitowezekana
 
Sasa hapo too much dah. SI jambo jema kabisa. Watatengeneza maDr wasiwe efficiency
 
Wanaomkumba mkwere naona wanazidi kuongezeka
 

Dahhhhh.....Namba tunaendelea kuzisoma kwa kasi isiyo ya kawaida
 

CCM Imeishiwa PUMZI ya kuongoza nchi hii. CCM imekosa ubunifu kabisa kufanya wananchi wafurahie maisha.
 
Haha my poor dad. Sasa hapo ni wivu au kubana matumizi au ndo ile kukulia viazi sasa unataka kila mtu ale viazi uji.
 
Wamefanya jambo jema sana hili kubana matumizi.
 
Kuliko hicho wanachotaka kufanya bora wafute hiyo intern ship ingawa ni muhimu sana na inawasaidia sana ma dr katika utendaji wao lakini wakiiweka hivyo haitoaaidia chochote
 
Hivi kodi maana yake ni nin? miongoni mwa majukum ya serikali ni kukusanya kodi kwa niaba ya wananchi wote ili kusimamia huduma muhim kwa jamii kama ulinzi, afya za wananchi wake n.k
Unapobana matumiz at the expense of ur people's health unategemea nini kama sio kuporomoka kwa afya ya wananchi na kupelekea kuporomoka kwa uchumi wa jamii nzima. Good healthcare services and economic prosperity have synergistic effect so unapoamua kubana kimoja tegemea kuporomoka kwa kingne and vice versa. Badala ya kuzalisha wananchi watatumia muda mwingi kwenda kwa waganga wa mitishamba na ramli chonganishi. Wakati wenzetu wakiendelea kuboresha miundombinu yao ya afya sis tunataka kubomoa hata kile kidogo tulichoanza kukijenga. Ni nani atataka kusoma miaka mitano ya shida akapate shida internship akitok hapo asote mtaan kusubiri ajira na bado mshahara wa daktari umepunguzwa.? Anyway labda tunataka kuzalisha mabango zaid ya mganga kutoka ufipa , nyasa, kigoma n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…