babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,643
- 3,301
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
What's wrong with that........I see nothing right ''with that''..hope we all live to tell.What's wrong with that...so long as an accommodation and meal are of standard order I second the government move!
Natamani MaDaktari wawe wanaajiriwa kwenye NGOs kwa kibali maalum toka kwa katibu mkuu kiongozi and ofcourse ndiyo mapendekezo tuliyoyapeleka.Dah! Hz nyingine ni mentality za kimaskini tu na sio kubana matumizi kitakacho fuatia ma dr. Wengi watakimbilia kweny NGO's Bdo tutazidi kumchagua huyu jamaa
Kuna tetesi kuwa serikali imekusudia kufuta posho za madaktari wa mazoezi (Interns) kuanzia madaktari wanaotarajia kumaliza masomo yao mwaka huu. Katika utaratibu huo mpya madaktari wa mazoezi watapewa nyumba na chakula katika hospitali watakazoenda kufanyia kazi (Internship) lakini hawatakua na posho yoyote ya kujikimu.
Taarifa kutoka chanzo ndani ya serikali inasema lengo ni kubana matumizi, na kuokoa fedha nyingi ambazo zimekuwa zikitumika kuwalipa madaktari hao, ambazo hazilipiwi kodi.!
Demand ya mamedical personels mtaani ni kubwa sasa huo utaratibu wa kupitia kwa katibu mkuu huoni utachelewesha watu kuanza kazi na vp mtu akinyimwa hivyo vibali?Natamani MaDaktari wawe wanaajiriwa kwenye NGOs kwa kibali maalum toka kwa katibu mkuu kiongozi and ofcourse ndiyo mapendekezo tuliyoyapeleka.
Zoezi hill liende sambamba na kuhakiki wale waliopo kwenye hizo NGOs.
Inabidi Madaktari wasambazwe had I ngazi vituo vya afya na ikibidi kwenye zahanati ambazo ni high volumes.
Unakuta MD mzima yupo kukusanya data tu kwenye hizo NGOs na kuwapa wengine wakazisome na Ku evaluate n.k.
Unadhani kumfanya mtu aishi kama shetani ni mchezo...hahahah...ndio process zake hizo..hatimaye wote tuishi kama shetani
tunaandaa madakatari wa aina gani nchi hii??Aisee hali itakuwa mbaya sana.
Yani acha tu Mkuu hawa watu sijui wanataka nini.tunaandaa madakatari wa aina gani nchi hii??