Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂sasa tufanyaje, Rais anakwambia walio na vyeo wanazurula tu ofisini,huenda na mleta mada ana cheo huko magerezaSijui watanzania tunawazaga nini, samahani kwahiyo topic tayari?
Nakuona dokta umeguswa ha haMbona hata wewe unaona sehemu za siri za mkeo kila siku Imekuathiri?
😂😂Acha Basi🤣🤣😂sasa tufanyaje, Rais anakwambia walio na vyeo wanazurula tu ofisini,huenda na mleta mada ana cheo huko magereza
Maake kwanza apa nichekee 😀😂😂😂😂Ww mbona huwa unaona sehem za siri za kuku ,ng'ombe , mbuzi , paka, mbwa na nyingne huwa unaathirika nn au ziko waz zile??🤕🤕🤕🤕🤕🤕
Ndiyo daktari..Kawaida sana...
Nina saloon ya kunyoa wanawake nywele za sehemu za Siri, lakini Niko poa !!Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri.
Hii aiathiri kweli nguvu zao zakiume?
Ndiyo kamaliza hivyo.Saa hizi ametulia anaangalia tunavyojibu kwa hasira.😂😂😂😂Sijui watanzania tunawazaga nini, samahani kwahiyo topic tayari?