Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

Madaktari wanaziona Sana sehemu za Siri , haiwaathiri kweli hii?

Haiwaathiri, kwa sababu mpaka amefika hapo ameshachezea maiti nyingi tu akiwa mafunzoni. Unaweza pia ukajiuliza, kazini kwako akija binti mrembo huwa unasimamisha? Kwa hiyo mpaka uruhusu hisia kufanya kitendo fulani, ndio athari itaonekana
 
Ww mbona huwa unaona sehem za siri za kuku ,ng'ombe , mbuzi , paka, mbwa na nyingne huwa unaathirika nn au ziko waz zile??🤕🤕🤕🤕🤕🤕
Maake kwanza apa nichekee 😀😂😂😂😂
 
immh…. ila kweli

hata na mm huwa najiulizaga sana hili swali
 
Ni kama chakula kuna muda unakula unashiba kabisa hautamani chakula kingine ila ukihisi njaa unatafuta chakula kikowapi
 
Back
Top Bottom