Madaktari wengi ni misukule walio hai

Good. Umesema vizuri kwamba HEAVY METALS na TOXINS katika mwili ni VICHAGIZI HATARISHI vinavyosababisha KANSA.

Kama wewe ni daktari muaminifu utakubaliana na mimi kwamba, katika mazingira sahihi, sumu zote na vyuma vizito vinaondolewa mwilini na WBCs immune action.

Ni jambo gani linasabisha WBCs kushindwa kuondoa HEAVY METALS na TOXINS katika mwili?
 
Mwanzo wa andiko langu nimetoa TAFSIRI ya neno DAKTARI.
Kwa tafsiri ulipotoa,
Unaowashutumu si madaktari.
Na umesema wazi, 'wanaajiita madaktari lakini sio madaktari'.
Kwa hiyo Hawa wanaojiita madaktari ili Hali si madaktari ndiyo misukule!
Kweli fumbo mfumbie mjinga.
 
Mkuu unajua Kuhusu Arsenic,na lead
Hizo ni Madini ya Sumu na mara nyingi hutumiwa kwenye Risasi na Milipuko..

Mtu anayekuwa Exposed na Madini hayo kwa wingi hachukui Round lazma aende akapate mabikra 72 au apae akamsalimie Yesu..

Sasa sikiliza inavyokuwa...
Exposure ya Lead,Arsenic au any heavy metals..
Inasababisha vitu vifuatavyo..
  • Kwanza ni inhibition of apoptosis...Unajua maana ya Apoptosis(Hii ni natural process ambayo husaidia kuremove damaged au unwanted cells hata hizo cells zilizokuwa exposed na Heavy metals sasa Heavy metals zikiingia zinaInhibit apoptosis, ambayo inaruhusu damaged immune cells to persist, further compromising the immune system's efficiency)
  • Pili kuna heavy metals zinatengeneza kitu kinaitwa reactive oxygen species (ROS) ndani ya cells,ambayo husababisha oxidative stress.........sasa hii oxidative stress inaweza kuharibu baadhi ya cellular components, including hiyo DNA. Sasa DNA ikishaharibiwa huwa ina interfere inasababisha kuongeza risk ya mutations....Sasa DNA inapokuwa inazidi kuharibiwa DNA repair nayo inakuwa inferfeared, just Think the Persistent DNA damage without proper repair inasababisha mutations and malfunctioning immune cells.
  • Tatu kuna maswala mengi sna mengine yanaweza ila niishie hapo tu..
NA process zote hizo zinapofanyika hufanyika ndani ya cells kwahyo ni vigumu kwa cells Kufanya Apoptosis hence repeated Mutation....
umeelewa sasa
 
Sijui kama unaelewa unachokiandika ama umekopi google kama madaktari wenzako wanavyofanya!

Ukiachana na hilo, wagonjwa wote/ wengi wa cancer wana ISOPROPYL ALCOHOL kwenye miili yao (alcohol ambayo inatoka kwenye vipodozi fulani).

Is it a coincidence that cancer patients have extreme amounts of isopropyl alcohol in their bodies? There must be a NEXUS.

Mwili wa mtu mwenye afya una uwezo wa kuiondoa hii alcohol mwilini kwa urahisi tu!! Kwanini hii alcohol inashindwa kutolewa na wagonjwa wa kansa? There must be an INTERFERING FACTOR.

Eleza hili bila kuangalia google! Najua utakimbilia google!πŸ€—
 
MKuu nachokiandika Ninakijua kwa kukisoma na pia ninakijua kwa kukiexperience kwa wagonjwa wengi sana....
Kwenye swala la medical Sihitaji Google yoyote mkuu labda kama Ungeniambia maswala ya Sheria au Siasa ukinipiga swali ndo inabidi nipate sehemu nisome..

Ila kwenye Huu upande ni wangu nimeishi nao sasa kwa miaka takribani 27 nikiwa mfanyakazi wa Afya na nimezunguka nchi mbalimbali na nimeona mengi pia..

Idadi ya wagonjwa niliotibu mpaka sasa na huu ujana wangu wa Makamo Si haba.. maana nina Nusu karne sio mchezo..

Sasa Nisikilze Mkuu Narudia Tena kusema Kuna aina za Cancer zaidi ya 200 iwe ni sarcoma au Carcinoma..

Huwezi kusema kwamba wagonjwa wa cancer wote wakipimwa watakuwa na same results Huo ni Uongo wa wazi kabisa na hata ukimchukua Junior Doctor bado atakubishia tu..

Labda kama unahiyo Study niko Open ku study zaidi..
Na furthermore Isopropyl Alcohol iwe kwenye Miili na upone? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..

Isopropyl alcohol ni Antiseptic na Disinfectants Haiwezi kuwa kwemye Cells halafu cells bado ikawa hai..

Nikuongeze tu Unafahamu vile Vipamba wanavyowawekea Mkichomwa sindano ya kupimwa HIV au Malaria hiyo ndo chemical ya Isopropyl Alcohol mnapewa kuifuta na kuikata damu..

So.Labda unipe Research ya kusupport swala lako na unieleze ni aina gani ya kansa ambayo ina isopropyl ili twende sawa..
 
Safi.

Hebu jaribu kuwapima wagonjwa watano wa cervical cancer uone kama hawana ISOPROPYL ALCOHOL kwenye miili yao!
 
"Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo...."

Nimecheka sana hii,
Baba angu hua anasema ukiwatoa Wanasiasa watu wengine ambao hawaamini ni Madaktari wa Tanzania
 
Safi.

Hebu jaribu kuwapima wagonjwa watano wa cervical cancer uone kama hawana ISOPROPYL ALCOHOL kwenye miili yao!
Tena huu uwanja wangu Mkuu Huwezi kunidanganya...

Miaka Kama 12 Nyuma hivi niliwahi kuwa Mratibu wa CECAP (Cervical Cancer Prevention and Treatment) Program Mikoa fulani Nikishirikiana na Mashirika kama Jhpiego, ICAP,AMREF...

Sasa nahisi ninaweza kukupata zaidi Unazungumzia kuhusu niniπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

Na jibu ni Papanicolaou test au Pap smear au Pap test πŸ˜€πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ€£πŸ€£

Sasa Ngoja nikuelekeze kitu πŸ˜…πŸ˜… umenifanya nimecheka mpaka wanangu wamenishangaa....

HIcho ni kipimo ambacho anapimwa mtu mwenye cancer probably CaCx(cervical.Cancer)..

Huwa tunachukua Stick tunaizungushia Pamba au kwa wale watu wa afya tunaita swab ambayo hudumbukizwa kwenye alcohol kidogo lengo la chemical kwa ajili ya kuchunguza Carcinoma cells

Lengo la kufanya hiyo screening ni kudetect Precancerous process au cancerous Process Yaani kudetect cancer kabla haijatokea au ikiwa kwenye process tunaita Carcinoma in situ na Pia kujua Kama tayari imekwisha Kuanza kula tissue πŸ˜€πŸ˜€..

Hapo huwa TunaRole out baadhinya magonjwa ambayo yanaweza kuwa sawa na Cancer ya Cervix..πŸ˜€πŸ˜€
Ila umenichekesha sana
 
Mkuu yaani acha tu, bado tupo nyuma sana na huko peripheral ndio kama wamelala, x ray kusoma mtihani, diagnosis kufanya ni mtihani mtu ana parkinson's lakini anakuwa reffered Muhimbili, yani hata hawajui.

Nimeona wagonjwa kadhaaa waliofanyiwa craniotomy, akitoka hapo anakuwa na paralysis ila alikuja vizuri tu.

Kwenye diabetic foot ulcers ndio dooh watu wana prune tu miguu kwenye hospital kubwa kabisa na ni specialist lakini akienda nje anarudi safi tu.

Nimeona nyingi tu
 
Hizi ni blah blah, umefanya kazi kwa miaka sabini bila kutoa suluhisho la kweli haina maana yoyote. Huu ndio undondocha ninaoupinga.

Umechukua fedha za watu na kulipwa mshahara bila kutoa mchango wa kweli zaidi ya kujitapa wewe ni bingwa wa kupima papuchi.

Nataka uniambie hapa umetibu wagonjwa kadhaa wa kansa na matokeo ni moja mbili.

Huo upimaji na janja janja za hospitali za kuchukua pamba na kudumbukiza kwenye papuchi hata darasa la saba mwenye D MBILI anaweza kufanya.

Tunahitaji MATOKEO CHANYA na sio ngojera za kurukaruka sijui nimefanya kazi miaka sabini.

Kwako DOKTA MAMBO JAMBO.
 
Madokta vilaza ni hatari kubwa mno.

Wengi wao hawajui wanachokifanya, na kama wanajua basi wanafanya kile walichokariri hata kama kinakinzana na mantiki ya kawaida.
 
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚

Hawa jamaa ni vilaza kuliko tunavyodhani, na tumewapa dhamana kubwa sana inayozidi uwezo wao.

Ukiondoa kile walichokariri, kichwani wanabaki na TIKTOK na UDAKU.

Kama huyu DR Mambo Jambo, kwa miaka ishirini ameajiriwa 'kutibu' wagonjwa wa kansa lakini hakuna mgonjwa hata mmoja aliyepona. Wote wamelamba vumbi. πŸ˜‚

Namueleza hapa bwana mkubwa, sayansi ya kansa uliyokariri sio sahihi, ni SAYANSI DANGANYIFU ndio maana wagonjwa wako hawatoboi!! Ni mbishi, anaruka ruka, anakwambia yeye ni bingwa kwa miaka sabinii hadanganyiki!! 😁

Bingwa wa kansa asiyeweza kutibu kansa! Aloooohh!

Katika vitu vyote, kitu ninachoweza kukifanya kama chaguo la mwisho ni kupeleka komwe langu kwa daktari wa kitanganyika.
 
Umesoma lakini nilichoandika hicho ni kipimo Local sana Pap smear Imekuwa ikitumika miaka ya zaman 12 iliopita πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Sijui kama siku hzi wanapima...
Hahha matokeo chanya yapi sasaUnayotaka🀣🀣
Kipindi nikiwa mratibu wa CECAP mikoa 4 ilifanikiwa kupunguza CaCx kwa Waviu na kwa watu wa kawaida
 
Bichwa komwe inaonekana Cancer ya Cervix imekupotezea Ndugu au mtu wa karibu..

Polee sana
 
Dokta, sayansi yako ya kansa ni danganyifu, ndio maana wagonjwa wako wote wanalamba mchanga futi sita. 😁😁

Sayansi yako ingelikuwa ni ya kweli wagonjwa wa kansa wangepona. Kama umewahi kuponya mgonjwa wa kansa sema SUUUUUUU..... Thubutuu!

Hii inathibitisha hauna ujuzi, ama ujuzi ulionao ni batili, na unalipwa mshahara wa udanganyifu kwa kujua au kwa kutokujua.

Japo mshahara ni mtamu, mimi ningekuwa wewe ningejiuzulu udaktari.

Dhamira yangu ingenisuta sana kiasi cha kuzimia au kufariki kabisa.
 
Bichwa komwe inaonekana Cancer ya Cervix imekupotezea Ndugu au mtu wa karibu..

Polee sana
HAPANA.

Nimeona shida iko kwenye MAFUNZO YENU nyiee!!

Na wewe hapa unatetea udaktari wako uliojengwa katika misingi ya udanganyifu kwa kiasi kikubwa.

Nimeona cases za watu kupona kansa kwa kufuata kanuni za kawaida kabisa wakiwa majumbani mwao tena kirahisi sana.

Nikikutana na daktari anayetema porojo za sijui CANCEROUS CELL na hadithi nyingine za kukariri, nabaki mdomo wazi kama BEBERU mwenye upwiru.
 
Kuna Uzi nimekutag hebu nenda katoe jibu kule kuna mtu kafoka kweli kweli kuambiwa mkewe lazma afanyiwe operation..🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…