BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
- Thread starter
- #121
Ok umezungumzia kuhusu Heavy metal sio..
Sasa hiyo ni just A Risk factor tu na sio chanzo cha ugonjwa..
Unajua kwanini?
Ndo kile nilichosema mwanzoni carcinogenic properties au carcinogenic effects..
Na sio Heavy metal zote na Toxins zinawezeza kuwa na risk factor za kupata Cancer..
Ni chache tu zilizo na Carcinogenic properties ambazo ni arsenic, cadmium na lead..
LaKini si kila mtu anayekuwa exposed na Lead anapata Cancer..
Kwa mfano Risk factor za Mtu kupata Kisukari ni Unene Lakini sio kila mtu mwenye unene ana kisukari..
Sasa sjui umenielewa
Good. Umesema vizuri kwamba HEAVY METALS na TOXINS katika mwili ni VICHAGIZI HATARISHI vinavyosababisha KANSA.Ok umezungumzia kuhusu Heavy metal sio..
Sasa hiyo ni just A Risk factor tu na sio chanzo cha ugonjwa..
Unajua kwanini?
Ndo kile nilichosema mwanzoni carcinogenic properties au carcinogenic effects..
Na sio Heavy metal zote na Toxins zinawezeza kuwa na risk factor za kupata Cancer..
Ni chache tu zilizo na Carcinogenic properties ambazo ni arsenic, cadmium na lead..
LaKini si kila mtu anayekuwa exposed na Lead anapata Cancer..
Kwa mfano Risk factor za Mtu kupata Kisukari ni Unene Lakini sio kila mtu mwenye unene ana kisukari..
Sasa sjui umenielewa
Kama wewe ni daktari muaminifu utakubaliana na mimi kwamba, katika mazingira sahihi, sumu zote na vyuma vizito vinaondolewa mwilini na WBCs immune action.
Ni jambo gani linasabisha WBCs kushindwa kuondoa HEAVY METALS na TOXINS katika mwili?