Madaktari wengi ni misukule walio hai

Madaktari wengi ni misukule walio hai

Kama ulisema Ulifirana na kaka yako wa damu basi sikushangai kuropoka Pumba...MD wa Bongo anaweza kupata kazi hata S.A bila kikwazo Chochoote Mtu anapomaliza MD pale Mhimbili basi Elimu yake haina walakini hata kidogo..kivipi useme ni ya kukariri wakati ndio kozi inayoongoza kwa Vutendo?Yani Mwanafunzi daktari na CO mwaka wa Pili sheria inamlazimu aende wodini kila siku asubuhi kabla ya Kuingia darasani..huko wodini wanaenda kucheza? HAPANA wanaenda kujifunza kwa vitendo

Wewe ni aidha umefeli au uneumwa ugonjwa usio na Tiba kutokana na Tabia zako za kufukuana mitaro hivyo unaona Madaktari wote ni Misukule
POLE SANA
Porojo za daktari mwenye D MBILI.

Mimi ni zaidi ya daktari na lenzi yangu inafika umbali ambao wewe hauwezi kuufikia katika maisha yako yote ya sasa na yanayoweza kuwapo baada ya sasa.

Lenzi yangu ni witiri, mbonyeo na mbinuko kwa mpigo, wakati wewe ni msukule unayesubiri maagizo na waraka wa mabeberu ambao hauwajui wala kuwaelewa.

Coming back to the point, you have not advanced any watertight defense so far. Just garbages and cries to cover your failures and inabilities.
 
Porojo za daktari mwenye D MBILI.

Mimi ni zaidi ya daktari na lenzi yangu inafika umbali ambao wewe hauwezi kuufikia katika maisha yako yote ya sasa na yanayoweza kuwapo baada ya sasa.

Lenzi yangu ni witiri, mbonyeo na mbinuko kwa mpigo, wakati wewe ni msukule unayesubiri maagizo na waraka wa mabeberu ambao wala hauwajui wala kuwaelewa.

Coming back to the point, you have not advanced any watertight defense so far. Just garbages and cries to cover your failures and inabilities.
Narudia tena kukupa pole Najua Tabu na shida ya uncured disease..zinafanya mtu akose matumaini na pia stage zake ni tano wewe bado uko stage za mwanzo zile umaamini utakuja kupona..
 
Hata Kama unayosema yana ukweli.

Je nikweli madaktari ndio wakulaumiwa sio serikali na mfumo mzima wa elimu?

Unataka madaktari wawe nondo waingie deep wafanye researches nzito kwa bajeti zipi watu wanaolalamika maslahi hata kuwalipa hamjaweza ila mnataka matokeo makubwa.

Serikali ikiamua kwa nia ya dhati kuzalisha wahandisi, madaktari bingwa, wataalam bingwa kwe kilimo inaweza na inawezekana shida ni hamna nia ya dhati na ufinyu wa bajeti pamoja na usimamizi.

Hamna kinachoshindikana chini ya jua, ni utayari wa mamlaka na vipaumbele.
 
Hao oncologists kazi yao ni nini huko mahospitalini mbona kila ukienda wanakwambia kansa haina dawa??

Mimi nilifikiri kazi ya wataalamu ni kutoa suluhisho, kumbe kazi yao ni kukueleza kwamba jambo fulani halina suluhu! Eboo!!

Sasa kama ni hivyo, ni bora waondoke hapo hospitali wakawe vibarua wa mashamba ya alizeti tupate mafuta mengi tuongeze uchumi wa taifa.
Mimi nilifikiri kazi ya wataalamu ni kutoa suluhisho, kumbe kazi yao ni kukueleza kwamba jambo fulani halina suluhu! Eboo!!
 
Sasa nimejua Shida iko wapi?
Unachofikiri ni kwamba Cancer inatokana na Invasion from wadudu au ni foreign body fulani hivi au Parasite fulani hivi ndo maana Unasema kuhusu WBC and such..and such unaelezea Vitu na pathological Mission kama engalfing zinazofanywa na Macrophages from WBC..
😀😀

Sasa nimeelewa 😀😀..

Naomba nikuambie kwa heshima Zote za Urafiki wangu Mimi na wewe Na Adabu Yote kabisa kwamba Mawazo yako kuhusu Cancer na maelezo yako yote Si kweli..

na hichi ndo nilikuwa nakitafuta Nikisikie kwanza una Jua nini kuhusu Cancer!
Na jibu lako limedhihirisha unahitaji elimu zaidi kuhusu Cancer..
Wengi sana wanaamini kama unavyoamini wewe kuwa cancer ni kama ugonjwa wa virusi hivi cancer ni pathological condition au disorder na sio Infection au infestation

Narudia Tena cancer sio Ugonjwa kama unavozungumzia Infection na Infestation...

Sasa nisikilize..
Cancer inatokana na cells Zenyewe ndani ya mwili ku Undergo Mabadiliko ya ghafla ya kiumbo na kikazi na kitabia (Cell mutation) ambayo mabadilioo hayo huwa kwa haraka sana kufikia Cells kushindwa kumudu Shughuli xa kawaida na kwa bahati mbaya Mabadiliko hayo ya cells hubadilika na kuathiri Cell za jirani (Metastasis) nazo pia hupata mabadiliko hayo kwa haraka sana..

Sasa mabadiliko hayo kadiri yanavyozidi kutokea husababisha Tissue Husika kutokufanya kazi vizuru hivyo organ pia na mfumo mzima wa sehemu athirika....

Na hiyo Ndiyo cancer..
Umezungumzia kuhusu Damu kupambana na magonjwa Damu pia Hupata Cancer na cells zake zikaynder go.mutation na Mwisho tukapata Leukemia..

Ukielewa Dhima nzima Cancer ni nini Huwezi kupata shida kujua kwanini hakuna Dawa ya moja kwa moja..

Asante
Nakukaribisha kwa maswali zaidi rafiki angu
Sijazungumza kuhusu bacteria wala parasites. Hilo umesema wewe.

Nimezungumza kuhusu uwepo wa HEAVY METALS na TOXINS kwenye THYMUS and BONE MARROW.

Hilo umeliruka. JADILI.
 
Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.

Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.

Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.

Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.

Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.

Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.

Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.

Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.

Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.

MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Kwahiyo daktari anayetibu wanadamu ndio anahusika na kufanya utafiti wa madawa ya wanadamu??

Una akili timamu we kinabo?
 
Hata Kama unayosema yana ukweli.

Je nikweli madaktari ndio wakulaumiwa sio serikali na mfumo mzima wa elimu?

Unataka madaktari wawe nondo waingie deep wafanye researches nzito kwa bajeti zipi watu wanaolalamika maslahi hata kuwalipa hamjaweza ila mnataka matokeo makubwa.

Serikali ikiamua kwa nia ya dhati kuzalisha wahandisi, madaktari bingwa, wataalam bingwa kwe kilimo inaweza na inawezekana shida ni hamna nia ya dhati na ufinyu wa bajeti pamoja na usimamizi.

Hamna kinachoshindikana chini ya jua, ni utayari wa mamlaka na vipaumbele.
Urongo.
 
Cancer ni nini?

FAFANUA KINAGAUBAGA NA KWA MIFANO HAI.
Haya sasa sikiliza nitajaribu kuelezea kwa ligha nyepesi sana ili unielewe..

Cancer ni hali inayotokea wakati cells za mwili zinaanza kukua na kujigawa kwa kasi (Fast meiosis and metosis "lakini kwa lugha ya pamoja tunasema metastasis" ) isiyokuwa ya kawaida.
Cells hubadili Ule Ukuaji wa kawaida na kwenda ukuaji ambao sio wa kawaida na hii hutokana na Mutation (Mabadiliko)..

Kwakuwa umesema unalima ngona nikupe mfano wa kulima..

imagine umepanda Zako Mahindi Shambani yakaota vizuri ila kwenye Kukua ghafla ukaanza kushangaa Siku mbili tu kuna mahindi yashafika kimo cha Mbwa mengine yamekuwa hayaeleweki na mengine badala ya kuwa kama muhindi yamekuwa manene kama Mbuyu na mengine yamekuwa kama maua saa sita N.k..

Sasa huo ndo mfano nilioweza kupata umaweza ukawa hauhusiani sana ila nimekosa cha kutolea mfano zaidi ila kwa kifupi ni Ukichaa wa cells tu kuanza kuwa na tabia mbaya za ukuaji ambayo mwanzo haikuwa nayo
 
You have a fantastic talent to reproduce what you have been taught, which is excellent, of course.

Haya utuambie, tiba ya kansa ni nini!
 
True.
Bongo ni history of science na si science.
Kama kazi kubwa ni kumezeshana historia ya sayansi hicho ni nini ?
Ni historia.
Wakusonga mbele sisi pia historia yetu tutaisogeza mbele.
Utasonga vp mbele bila kuijua historia ya ulipotoka?
 
Unategemea watu wanaoishi kwenye mfumo unaoendeshwa kwa siasa ndio wajisimamie wenyewe?
Likitokea tatizo wanasayansi wakifanya uchunguzi wakitaka kutoa majibu mwanasiasa anayacrush akiwa hana hata basic knowledge na watu wanamsikiliza zaidi kuliko mtaalamu mwenyewe.
 
Sijazungumza kuhusu bacteria wala parasites. Hilo umesema wewe.

Nimezungumza kuhusu uwepo wa HEAVY METALS na TOXINS kwenye THYMUS and BONE MARROW.

Hilo umeliruka. JADILI.
Ok umezungumzia kuhusu Heavy metal sio..
Sasa hiyo ni just A Risk factor tu na sio chanzo cha ugonjwa..

Unajua kwanini?
Ndo kile nilichosema mwanzoni carcinogenic properties au carcinogenic effects..

Na sio Heavy metal zote na Toxins zinawezeza kuwa na risk factor za kupata Cancer..
Ni chache tu zilizo na Carcinogenic properties ambazo ni arsenic, cadmium na lead..

LaKini si kila mtu anayekuwa exposed na Lead anapata Cancer..

Kwa mfano Risk factor za Mtu kupata Kisukari ni Unene Lakini sio kila mtu mwenye unene ana kisukari..
Sasa sjui umenielewa
 
You have a fantastic talent to reproduce what you have been taught, which is excellent, of course.

Haya utuambie, tiba ya kansa ni nini!
Sasa Turudi kwenye Mazao..
Vipi hayo mahindi utayafanyaje yaweze kurudi sawa ili yasiharibu mahindi mengine?

Ukinijibu hapa tutaenda sawa
 
Ni kweli kabisa kuna Uzembe mwingi..
LAkini uzembe huo unachangiwa na Kutokuwa na Vifaa au serikali yetu kutokuwekeza kwenye Vifaa tiba..

Nitakupa Mfano ukiwa Kwenye Nchi za Wenzetu kila chumba Cha mgonjwa kiko Full equiped mpaka Ultrasound Potable zipo Kila chumba kwahyo ni vyepesi kugundua tatizo haraka na Kujua chanhes kwa haraka sana kuliko Kwetu..

Na hata Baadhi ya huduma na Dawa kwetu zinakuwa ni ghali sana kuziagiza hivyo dawa nyingi na huduma nyingi kukosekana..

Unachotakiwa kushangaa ni kuwa kwanini Daktari akiwa Tanzania anaonekana kama hafanyi kazi yoyote ila akiwa nje anaonekana mbobezi sana na hata Huko huko wanamsifia na kumpa vyeo?

Na kusaidia majibu machache tu..!

Motisha- Tanzania hatuna Motisha ya Madaktari sio kwa Vifaa vizuri na bora vya kufanyia kazi hata Posho na Mishahara Yao iko chini sana..
Daktari Mdogo tuseme MD (Gp) akiwa anafanya kazi NIMR "kwenye Utafiti" au kwenye mashirika Binafsi anaweza akachezea kwenge 5M mpaka 6M..

Wakati huo Huo Daktari Bingwa na Daktari Bingwa mbobezi wakiwa upande wa hospitali za serikali wnacheza kwenye 2mil mpaka 3Milion..

We unafukiri kipi kitafanyika zaidi ya kuboronga..

Wazo:_ Wakati unamlaumu Kuku Kutokutakaga Vizuri hakikisha umetimiza wajibu wako kwa kumuandalia mazingira safi ,Banda zuri la kutagia na anapata Chakula na Maji ya kutosha sasa ukifanya yote hayo unaruhusa ya kusema kuku huyu Hana shukrani
Kuandika ukweli ni kwamba Tanzania taaluma na uweledi hauthaminiwi kabisa.
Si madaktari.
Si walimu.
Si wahandisi.
Si watafiti.
Si wanafedha.
 
Nimetumia neno msukule kwa makusudi maalumu. Msukule sio tusi ni nomino, ni jina la mtu aliyetekwa nyara kiroho na kupotezwa kimazingara.

Kwanini madaktari ni misukule? Nitafafanua kwa ufupi na kwa kiwango kinachoeleweka.

Madaktari wengi akili zao zimefungwa minyororo, hawana wazo huru, wala hawana ujuzi huru. Wamebeba furushi la elimu ya kukaririshwa na kumezeshwa kama makinda ya bundi-mwitu.

Nikizungumza daktari, kwa muktadha wa kitanganyika, namaanisha watu wote wanaojiita wataalamu wa sayansi ambao kimsingi wala sio wataalamu, wengi wao wana diploma za D mbili kisha wakaunga unga mpaka Kairuki University au Bugandooh kisha wakavaa makoti meupe wakaanza kujiita madaktari na wanasayansi.

Kiukweli wako mbali sana na sayansi. Hawaijui wala hawaielewi sayansi. Ukimuuliza daktari wa kitanganyika kwanini kansa haina dawa anakwambia kansa haina dawa kwa sababu mabeberu hawajaleta chanjo.

Mfumo mzima wa daktari wa kitanganyika umejengwa katika muhimili wa kukariri na kusubiri maagizo ya mabeberu.

Beberu likiamuru kwamba kansa haina dawa basi ujue daktari wa kitanganyika hapindui meza. Ni mwendo wa kansa haina dawa hadi pale beberu litakapoamua vinginevyo.

Huu ni msukule wa kitanganyika katika mavazi meupe. Akili imefungwa minyororo ya chuma.

Corona ilituaibisha. Wanasayansi wetu wa kitanganyika walijificha uvunguni wakisubiri kuokolewa na mabeberu. Alhamdulillah mabeberu wakatutupia magunia ya chanjo tuyafakamie tupendavyo.

MY TAKE: Madaktari wote wafutiwe leseni zao wakawe wachimbaji wa kawaida wa mitaro ya barabara.
Heshimu taaluma za watu
 
Back
Top Bottom