A
Anonymous
Guest
Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations"
Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao;
1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali tangu May 2023 lakini wamewekwa mtaani bila practice wakisubiri mtihani huo unaotarajiwa kufanyika January 2024.
👉 Udakitari ni fani ya kijifunza Kila siku, unamuweka dakitari mtaani takribani mwaka mzima na bado unategemea afaulu? Anyway tuseme imetokea akafaulu, unategemea kiwango cha ujuzi aliokuanao kitaendelea kua pale pale baada ya kukaa mwaka mzima bila practice??? MCT na wizara ya Afya wajitafakari kwenye hili.
2. Zaidi ya vijana 300 wamewekwa mtaani takribani miaka miwili sasa bila practice Kwa kudai Kwamba wamefeli mtihani huo.
👉 Dakitari amekua trainined miaka 5 hadi 6 akafaulu, ukamfanyisha mtihani wa pre-registration akafaulu, akapata mafunzo ya vitendo mwaka mzima na kua recommended 🤔 mtihani wa nadharia wa masaa matatu unamuondolea qualifications zote hizo!!!!! MCT na wizara ya Afya wajitafakari.
👉 Dakitari amepata qualifications zote hizo nilizotaja, lakini qualifications zote zinaondolewa Kwa mashine za kusahihisha mitihani yenu kushindwa kudetect namba yake ya usajili!! MCT kweli?
👉 Mtihani unaoanza kumpima dakitari kabla ya kumuingiza katika mafunzo ya vitendo unatumika kujaji ubora wa dakitari hata anapomaliza mafunzo ya vitendo kweli MCT, kweli!!!
3. Zaidi ya madakitari 300 wamewekwa mtaani bila ruhusa ya ku-practice kutokana nakua disqualified na mtihani huu ulio na kipimo cha nadharia zaidi; kweli unamuweka mtu mtaani bila practice na unategemea aweze kufaulu when next offered!!!, Sawa Kwa kudra za Mwenyezi MUNGU amefaulu 🤔 unadhani bado utaendelea kua na dakitari Yule Yule uliekuanae mwanzo zaidi ya kua na substandard and demotivated Doctors.
MCT na Wizara ya Afya wajitafakari sana kwenye hili. Kupitia hawa vijana; wazazi wao wamewekeza na pia serkali imewekeza kupitia kuwapa mikopo ya elimu ya juu. Kama hamuwezi kuwaajili, sio lazima muwanyang'anye Hadi Haki ya kujiajili(kwani hawawezi jiajili bila leseni).
KUSHINDWA KWENU KUAJILI KUSIPELEKEE KUUMIZA VIJANA WA WATU.