DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

DOKEZO Madaktari zaidi ya 300 hatarini kupoteza nafasi kufuatia maamuzi ya Baraza la Madaktari

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Ni kweli ila kumpa mgonjwa vidonge visivyo sahihi aisee ni kosa.
Ila mimi kuna mmoja alimpa mwanangu vidonge vya kifafa wakati ana dege dege pale Kairuki, hadi leo naishangaabsananike hospitali, ukiuliza unaambiwa mashine ya vipimo ndio imesema ana kifafa.., ila ukiangalia Symptoms ni za degedege 100%, sasa kwani mashine hazikosei? We Daktari unarely mashina badala ya kutumia akili? Vidonge vyenyewe ni vya mwaka mzima! Bahati nzuri niliingia google na nikastuka mapema akiwa amevitumia wiki tu. Baada ya hapo wanakiri walikosea, lakini hakuna any formal apology
 
Napo washatangaza mchujo.Hakuna pa kukimbilia ni kuwa competent tu. Wekeza kujua zaidi ya kujua, ukisoma kikawaida utapigwa na kitu kizito kichwani.
Kila sekta ni utitir.
Hapa nilipo muda huu tunalia bei ya viazi imeshuka kwa sababu vimejazana sokoni, the same kwa madakrari wapambane aisee hali nu ngumu sana.
Tatizo serikali inaajiri MD mmoja CO 10
 
Mkuu nakurekebisha, nchi hii ndo ya kipekee ambayo haijaanza kuajiri physicist kwenye afya wakati ni lazima Kila hospitali iwe na physicists ila Serikali imeamua kufyata mkia.

Wanaofanya kazi na kupiga picha ni radiographers. Yaani siasa zipo hadi kwnye afya,, imagine wazungu wanavotushangaa radiology department haina physicist.
Mtaalamu wa x-ray, echo, T-scanner nk huyo ni physist japo mnamwita majina yenu huko hospital. Hapa simaanishi mwanasayansi kamili wa fizikia ila muendesha hio mitambo.
 
Angalia anayefeli na Mwalimu nani anapata mazara baada ya matokeo ya kufeli, Mwalimu ataendelea kufundisha.
Nakubali. Lakini ukweli ambao hausemwi ni kwamba mwanafunzi akifeli ni mwl kashindwa kumpa mbinu za kufaulu mwl ndio failure wa kwanza hapo. Lkn yanayotokea sasa ni kinyume mwanafunzi yupo competent kashafunzu miaka 6 ya darasani na vitendo. Kafuzu na mwaka wa internship chiniuangaliziwa madaktari bingwa, lakini baada ya hapo anapewa mtihani wa masaa 3 tena wa theory ku judge miaka yote ya nyuma aliojifunza kwa vitendo hii si sawa na lengo ni kufelisha maksudi, mtihani huu wa leseni (post internship exam) umeanza 2021 haimaanishi waliokua madaktari nyuma ya huo mwaka wako vibaya kitaaluma kwa sbb hawakua na mamitihani ya namna hiyo.
 
Ila mimi kuna mmoja alimpa mwanangu vidonge vya kifafa wakati ana dege dege pale Kairuki, hadi leo naishangaabsananike hospitali, ukiuliza unaambiwa mashine ya vipimo ndio imesema ana kifafa.., ila ukiangalia Symptoms ni za degedege 100%, sasa kwani mashine hazikosei? We Daktari unarely mashina badala ya kutumia akili? Vidonge vyenyewe ni vya mwaka mzima! Bahati nzuri niliingia google na nikastuka mapema akiwa amevitumia wiki tu. Baada ya hapo wanakiri walikosea, lakini hakuna any formal apology
Ndugu pole kwa huo mkasa lkn udaktari ni zaidi ya google. Waache madaktari wafanye kazi yao
 
Mimi nimeongea kama mgonjwa niliewahi tibiwa. Kusoma mifumo ya mwili kwa mashine sio kika daktari anaweza kwa ufanisi. Nimetibiwa ba madaktati wengi kwa uhonjwa huo huo.
Ndugu jana nikifunhua hodpitali nitaajiti vigaba walio rlejezwa teknolojia za kiaasa kililo hao waliopewa seminars.
Kuna watu ni conservatives hivyo sikushangai.
Hii hii serikali yetu ipeleje madaktari kujiendeleza wawe update. Namashaka sana sana.
Hio bajeti hawanankabda hwa watumishi wachache na sekta nyeti sio kila sekta.
Kila nikikumbuka jinsi hospital X walivyonitoa jino af nikaenda hodpital y na kukuta wana softcated tool na vijana waliosmart.
Nchi hii kwa sasa mambo makubwa yanaendeshwa na vijana na hao wazee ni wachache sana ila mpo mbele sana kuwabeza vijana wansowahudumia kila sekta.
Nchi yoyote inayopuuza vijana hio ni dead country.
Serikali hupeleka vijana kupata ujuzi nchi mbali mbali sio wazee, sasa endelea kuamini kuwa vijana hawajui ila wazee.
Mkuu balance mambo....usitoe hitimisho LA upande mmoja.
 
Yaani baadhi mizee ya hii nchi ni kama michawinkabisa, haipendi kuona vijana wa wazee wenzao wakitoboa katika maisha, sasa mtu kapita kooote huko.., bado unakuja kumkwamisha kwa kitu kidogo mwishoni, sasa kama mashine haijadetect namba ya mtihani, hilo ni kosa la nani?
Na huo mtihani hamna kurudia ama?
Kurudia ndio baada ya mwaka mmoja.
 
Tatizo serikali inaajiri MD mmoja CO 10
Sasa unataka MD akae dispensary? Na kwa taarifa Yako serikali ya CCM siku hizi inaajiri Medical Attendant (MA) wengi kuliko hata hao Co tena mpaka nafasi (MA) zinakosa watu.
 
Hii inapelekewa na uwepo wa kitu kichoitwa "post internship examinations"

Baraza la madakitari Tanganyika limeandaa utaratibu wa kufanyisha mitihani ya kusajili madakitari tangu mwaka 2021, lakini mtihani huo umujawa na sintofahamu kibao;

1. Zaidi ya vijana 200 wamemaliza mafunzo ya utarajali tangu May 2023 lakini wamewekwa mtaani bila practice wakisubiri mtihani huo unaotarajiwa kufanyika January 2024.

👉 Udakitari ni fani ya kijifunza Kila siku, unamuweka dakitari mtaani takribani mwaka mzima na bado unategemea afaulu? Anyway tuseme imetokea akafaulu, unategemea kiwango cha ujuzi aliokuanao kitaendelea kua pale pale baada ya kukaa mwaka mzima bila practice??? MCT na wizara ya Afya wajitafakari kwenye hili.

2. Zaidi ya vijana 300 wamewekwa mtaani takribani miaka miwili sasa bila practice Kwa kudai Kwamba wamefeli mtihani huo.

👉 Dakitari amekua trainined miaka 5 hadi 6 akafaulu, ukamfanyisha mtihani wa pre-registration akafaulu, akapata mafunzo ya vitendo mwaka mzima na kua recommended 🤔 mtihani wa nadharia wa masaa matatu unamuondolea qualifications zote hizo!!!!! MCT na wizara ya Afya wajitafakari.

👉 Dakitari amepata qualifications zote hizo nilizotaja, lakini qualifications zote zinaondolewa Kwa mashine za kusahihisha mitihani yenu kushindwa kudetect namba yake ya usajili!! MCT kweli?

👉 Mtihani unaoanza kumpima dakitari kabla ya kumuingiza katika mafunzo ya vitendo unatumika kujaji ubora wa dakitari hata anapomaliza mafunzo ya vitendo kweli MCT, kweli!!!

3. Zaidi ya madakitari 300 wamewekwa mtaani bila ruhusa ya ku-practice kutokana nakua disqualified na mtihani huu ulio na kipimo cha nadharia zaidi; kweli unamuweka mtu mtaani bila practice na unategemea aweze kufaulu when next offered!!!, Sawa Kwa kudra za Mwenyezi MUNGU amefaulu 🤔 unadhani bado utaendelea kua na dakitari Yule Yule uliekuanae mwanzo zaidi ya kua na substandard and demotivated Doctors.

MCT na Wizara ya Afya wajitafakari sana kwenye hili. Kupitia hawa vijana; wazazi wao wamewekeza na pia serkali imewekeza kupitia kuwapa mikopo ya elimu ya juu. Kama hamuwezi kuwaajili, sio lazima muwanyang'anye Hadi Haki ya kujiajili(kwani hawawezi jiajili bila leseni).

KUSHINDWA KWENU KUAJILI KUSIPELEKEE KUUMIZA VIJANA WA WATU.
Nchi hii ni ya ajabu sana. Vijana wanaokuwa smart na ufaulu wa juu secondary, huko baadaye wananyanyaswa sana na wale waliokuwa na ufaulu wa chini na waliofeli wakapata bahati tu kupata nafasi kwa connection
 
Yale yale ya LST endeleeni kukenua wakati Mpwayungu Village akiwavutia pumzi wale wengine. Fani moja moja endeleeni kukenua mkidhania nyie ni vipanga isipokuwa wale.
 
Mkuu balance mambo....usitoe hitimisho LA upande mmoja.
Kasumba tu. Sio kwamba mie ni kijana ila tumezidi kasumba. Nijuavyo mimi zaidi ya yale mambo anayoyatenda mara kwa mara mkongwe hana cha ziada. Hana hamu tena, anatamani mambo mengine mda mwingine anajuta kwa nini alikuwa daktari.
Kijana bado yupo motivated. ana shauku, ana maarifa mengi yuko up to date nk.
Zipo sehemu ambazo wazee wapo vizuri ila sehrmu nyingi zinazohitaji matumizi ya kisasa ya technolojia wanajitutumua tu, na ni karibu kila sekta.
 
Back
Top Bottom