Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Hongera je kuna tofaut ya msanii Na mwanamuziki
Ipi
DJ sepetu
"Ushilawadu" hii tabia imewaathiri sana mpaka wanaume sasa hivi, binafsi unayo tabia ya umbea?Mume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.
Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
Yupi ni mfano wa kuigwa kwako ktk siasa, uchumi, na sanaa!!Msanii anatumia mbinu mbalimbali tu, anabuni anajituma hara kama hana sautibanalazimisha mambo yaende yaani creative.
Mwanamuziki ni fundi wa kuimba, sauti nzuri ana kipaji kimemkaa
Unapokuwa barabarani, unapenda kuendeshwa ama kuendesha...My soft&black skin
Unavutiwa Na nn kimahaba kwa mwanaume!?Mume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.
Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
Huoni kuwa utaenda tofauti Na dini zingineMume bora ampende mkewe na familia, aishi kama mtu mwenye ndoa sio kuigiza busy na washkaji tu hajielewi, awe tayari kujenga familia imara asisikilize ya watu yenye kubomoa.
Mitara sipendi maana ni unafiki. Napenda niwe na mume wangu kila inapowezekana tukipanga mambo yetu tukapitisha hamna tena blaa blaa nimjali nipendavyo
"Ushilawadu" hii tabia imewaathiri sana mpaka wanaume sasa hivi, binafsi unayo tabia ya umbea?
Utafanya nini ukigundua mmeo ni mbea??
Sent using Jamii Forums mobile app
Daa mwenye mikono yakutosha kunijaza katikati mwa mikono yakeUnavutiwa Na nn kimahaba kwa mwanaume!?
DJ sepetu
Unamanisha niniDaa mwenye mikono yakutosha kunijaza katikati mwa mikono yake
Hii ni personal sana yafaa nimwambie laazizi. Lakini all in all mahabatiNini hukuchochea ktk sex zaidi
DJ sepetu
Thanx what about your favourite style! ! Doggy style or government style?Pale ambapo Adam anaingia.
Napenda sana tena sana. 4 napendaUnapenda watoto!?
Ungependa kuzaa wangapi
DJ sepetu
PoaUwe una like post yangu kabla hujajibu as l do ili niione faster
DJ sepetu
Accordingly sina uniformly katika hili.Thanx what about your favourite style! ! Doggy style or government style?
Thnx!!! Kibamia au mhogo wa Jang'ombe?Accordingly sina uniformly katika hili.