Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

Nipo nafikiria muswada wako ..ingawa sijajua Kama almashauri ya akili na mwili wangu vitaupitisha.
 
Duuh hili ndio nalisikia Leo Mimi
Ukweli bilashaka anaujua mwamba
Eeh alesema mwenyewe Tena akasema hata mama mkwe wake na shangazi wa huyo mkewe ni waswahili haswaa Kama wale wa kwa mtogole sasa mwanamke wa background hiyo jf wapi na wapi?sana Sana anaweza kuwa insta kwenye zile page za udaku๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… ni wale wanawake wa kila wikend wanaenda kwenye sjughuli
 
baby zu

Umetisha Sana kwahiyo wewe kama ndio secretary wake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Anyways kama Baba watoto Hana makando kando basi ni Jambo zuri na endelea kumuombea aendelee kuwa hivyo hivyo
Naona ni zaidi ya secretary jana tu katoka kunisema hapa yan hata nikisev namba mpya tayar ushajua๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ sina mchezo na mume wangu natekeleza wajibu wa mke wa kumlinda yeye na.mali zake๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Aameeen alhamdulillah nawe akuafikishe ukimuoa bibi mya uache makando kando
 
Mwanaume anarudi kila siku usiku wa manane na mauongo kibao nani anataka,mama wa watu hana namna ameamua kukubali kila hali
 
Nipo nafikiria muswada wako ..ingawa sijajua Kama almashauri ya akili na mwili wangu vitaupitisha.
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Lakini kile kitendo cha kutafakari Tu ni Jambo jema pia

Hope halmashauri ya akili na mwili vitaujadili na hatimaye mambo yataenda sawa
 
Daah hakika wewe hutaki mchezo kweli maana si Kwa udukuzi huo

Inshallah naomba niwe hivyo kwakweli maana Maisha yenyewe mafupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ