Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

Madam zangu muige Tabia za mke wa Deepond

Nipo nafikiria muswada wako ..ingawa sijajua Kama almashauri ya akili na mwili wangu vitaupitisha.
 
Duuh hili ndio nalisikia Leo Mimi
Ukweli bilashaka anaujua mwamba
Eeh alesema mwenyewe Tena akasema hata mama mkwe wake na shangazi wa huyo mkewe ni waswahili haswaa Kama wale wa kwa mtogole sasa mwanamke wa background hiyo jf wapi na wapi?sana Sana anaweza kuwa insta kwenye zile page za udaku😅😅 ni wale wanawake wa kila wikend wanaenda kwenye sjughuli
 
baby zu

Umetisha Sana kwahiyo wewe kama ndio secretary wake 😂😂😂

Anyways kama Baba watoto Hana makando kando basi ni Jambo zuri na endelea kumuombea aendelee kuwa hivyo hivyo
Naona ni zaidi ya secretary jana tu katoka kunisema hapa yan hata nikisev namba mpya tayar ushajua🤣🤣🤣🤣🤣 sina mchezo na mume wangu natekeleza wajibu wa mke wa kumlinda yeye na.mali zake😂😂😂😂
Aameeen alhamdulillah nawe akuafikishe ukimuoa bibi mya uache makando kando
 
Wakataa ndoa kuna muda wana point, imagine mtu umeolewa na mtu kama huyo jamaa unayemzunguzia, kwanini usikatae ndoa na kukimbia, na kuja kutuletea uzi humu? hakuna ndoa hapo ni mtu mmoja ameamua kumsindikiza mwenzie aishi maisha yake.

Anachofanyiwa huyo dada ni unyanyasaji wa kihisia, ni vile tu hana pa kwenda.

Ngoja nikusanue mleta mada, Ukiwa na mume ambaye ni rafiki yako, haihitaji akuambie nani amepiga simu saa nane usiku, Simu ikiita mida ambayo "siyo" unaanza kuguess atakuwa fulani, au ni fulani, au ni fulani, na katika assumption moja ujue kuna jibu sahihi. Haihitaji mtu akuambie mlinzi kapiga simu, akipiga simu mlinzi utajua tu!

Nataka kusemaje? Kama unapendwa kweli, Unakuwa unamjua mumeo na ratiba zake bila ya kumfatilia nyuma nyuma au kushika simu yake.
Mwanaume anarudi kila siku usiku wa manane na mauongo kibao nani anataka,mama wa watu hana namna ameamua kukubali kila hali
 
Nipo nafikiria muswada wako ..ingawa sijajua Kama almashauri ya akili na mwili wangu vitaupitisha.
😂😂😂 Lakini kile kitendo cha kutafakari Tu ni Jambo jema pia

Hope halmashauri ya akili na mwili vitaujadili na hatimaye mambo yataenda sawa
 
Naona ni zaidi ya secretary jana tu katoka kunisema hapa yan hata nikisev namba mpya tayar ushajua🤣🤣🤣🤣🤣 sina mchezo na mume wangu natekeleza wajibu wa mke wa kumlinda yeye na.mali zake😂😂😂😂
Aameeen alhamdulillah nawe akuafikishe ukimuoa bibi mya uache makando kando
Daah hakika wewe hutaki mchezo kweli maana si Kwa udukuzi huo

Inshallah naomba niwe hivyo kwakweli maana Maisha yenyewe mafupi
 
Back
Top Bottom