Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli[emoji4]Mwanamke Msaliti pekee ndio anaweza kuvumilia.
Wife wangu namjua vzur,Kwahiyo unataka kusema huenda wife wa mwamba nae ana mambo yake ndio maana Hana time?
Nakataa coz mwanamke akifall in love sehemu nyingine au akinogeshwa huko lazima atajulikana Tu coz atakuwa na dharau na vurugu mingi mingi
Nishafika mkuu[emoji4]DeepPond mwenyewe anasemaje [emoji23]?
Shukran mkuu,
MamaG Japo nae ana mapungufu yake ya kibinadamu ila Sijawahi kujutia kuoa.
Kwenye kile chama Cha wakataa ndoa Mimi sipo kabisa, wife hanipi stress.
siwez kumlaumu stress najitaftia mwnyw kwa kina mamaJ kwa minyeg yangu[emoji4]
Hilo la kutokumpenda linaweza kuwa chanzo cha yote anayomfanyia,japo atakuja kubisha hapa.Kabisa japo jamaa alikiri kuwa hajawahi mpenda huyo mwanamke before sijajua ndani ya ndoa
KabisaHilo la kutokumpenda linaweza kuwa chanzo cha yote anayomfanyia,japo atakuja kubisha hapa.
Hongera sanaKweli kabisa hayupo Wala haijui jf
Ila ni mfano wa Wanawake Bora kabisa nilowahi kua nao maishani[emoji4]
Yan mimi naichunguza simu ya mume wangu mpaka amezoea yan nukisikia tu msg nasoma kabla ya yeye kusoma🤣😂😂😂 sema tu ndo hana makando kando hayo, kila mtu kuna vitu Mungu kamzidishia na kumpunguzia huyu naona mambo ya madem hanaHapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba.
Lakini wote tunakubaliana humu jukwaani kwamba Hakika kama mkewe angekuwa mtu WA kufuatilia Simu ya mumewe bilashaka ndoa yake ingekuwa chali siku nyingi Sana.
Lakini mwanamke huyu amechagua kutojihusisha na mambo hayo na ndio maana pamoja na vurugu zote za mama j bado ndoa Yao iko salama na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Kwa mfano kisa cha juzi mwamba baada ya kupigwa sound na mama j ikabidi nae ampige sound wife kuwa mlinzi ofisini kanipigia Simu huenda kuna shida, kama wife angekuwa mfuatiliaji basi angeenda ofisini Kwa mwamba na kumuuliza mlinzi mume wangu alikuja Jana saa nane usiku,kulikuwa kuna shida gani? Bilashaka mlinzi angeshangaa na kustaajabu na hapo wife angejua kuna tatizo sehemu.
Lakini amechagua kumwamini mumewe na ndio maana mpaka Leo wako pamoja na Hana presha zisizo na sababu.
Hata mama yangu pia si mtu WA kuchunguza Simu za Mzee wangu,maana kama angekuwa ana chunguza Bilashaka angelipata la kulipata,coz wakati bado nipo home siku moja mdogo wangu yale mambo ya kumwekea vocha mshua, sijui aliwaza nini na kwenda kwenye text za mshua daah sio poa,itoshe kusema ni Noma,ndo akanitonya bro kuna text flani flani humu.
So point yangu ni kwamba mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe Kwa mikono yake,maadam mumeo anakuheshimu na kukupenda na hajakuletea sababu zozote za kukufanya uwe na mashaka,basi usitafute mashaka katika Simu yake,kwani ukiyataka utayapata Tu!
Kaa mbali na Simu yake Kwa mustakabali wa ndoa Yako.
Ni hayo Tu!
Naongea kama Mwanamke wewe endelea kukaza FuVuSio kweli[emoji4]
Kama nakuelewa hiviMwanamke Msaliti pekee ndio anaweza kuvumilia.
😅😅😅siweziMama kaa mbali na simu ya mumeo
Dah hata mimi maza angekua ni mtu wa kufatilia simu ya mzee ndoa ingeshadondoka kitambo. Dingi ni mzinzi kisenge yan hata simtetei🤣Hapana Shaka yoyote wengi wetu humu ndani tunajua harakati za DeepPond na mama j, ni mastory ambayo Yana vituko na burudani na mafunzo ndani yake, binafsi huwa sikosi kumsoma huyu mwamba.
Lakini wote tunakubaliana humu jukwaani kwamba Hakika kama mkewe angekuwa mtu WA kufuatilia Simu ya mumewe bilashaka ndoa yake ingekuwa chali siku nyingi Sana.
Lakini mwanamke huyu amechagua kutojihusisha na mambo hayo na ndio maana pamoja na vurugu zote za mama j bado ndoa Yao iko salama na Maisha yanaendelea kama kawaida.
Kwa mfano kisa cha juzi mwamba baada ya kupigwa sound na mama j ikabidi nae ampige sound wife kuwa mlinzi ofisini kanipigia Simu huenda kuna shida, kama wife angekuwa mfuatiliaji basi angeenda ofisini Kwa mwamba na kumuuliza mlinzi mume wangu alikuja Jana saa nane usiku,kulikuwa kuna shida gani? Bilashaka mlinzi angeshangaa na kustaajabu na hapo wife angejua kuna tatizo sehemu.
Lakini amechagua kumwamini mumewe na ndio maana mpaka Leo wako pamoja na Hana presha zisizo na sababu.
Hata mama yangu pia si mtu WA kuchunguza Simu za Mzee wangu,maana kama angekuwa ana chunguza Bilashaka angelipata la kulipata,coz wakati bado nipo home siku moja mdogo wangu yale mambo ya kumwekea vocha mshua, sijui aliwaza nini na kwenda kwenye text za mshua daah sio poa,itoshe kusema ni Noma,ndo akanitonya bro kuna text flani flani humu.
So point yangu ni kwamba mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake mwenyewe Kwa mikono yake,maadam mumeo anakuheshimu na kukupenda na hajakuletea sababu zozote za kukufanya uwe na mashaka,basi usitafute mashaka katika Simu yake,kwani ukiyataka utayapata Tu!
Kaa mbali na Simu yake Kwa mustakabali wa ndoa Yako.
Ni hayo Tu!
Hajawahi kuwa na wazo hata la kukucheat eeh?Wife wangu namjua vzur,
Afu kwasababu namcheat Sana Kuna MDA namchunguza Sana, hajawahi kua na wazo hata la kunicheat[emoji4]
Unamjua mpaka ndani ya moyo wake ana kuwazia nini basi sawa😬Wife wangu namjua vzur,
Afu kwasababu namcheat Sana Kuna MDA namchunguza Sana, hajawahi kua na wazo hata la kunicheat[emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwezi mzima anaenda kulia msamaha daily asubuhi hadi jioni harafu saivi ajikute anauliza uliza si atafungiwa vioo kabisa kaona bora liende tuKwa biti ile alompiga,hata akijua anachepuka anapotezea,