Hannah
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 9,679
- 39,087
Hapo solution sio kuacha kushika simu solution ni kuacha uasherati na kuwa mwaminifu kwenye ndoa.Madam
Kwanza naomba nieleweke sibariki uzinzi wala uchepukaji Ila point yangu kubwa ni kwamba,mifarakano mingi hutokana na haya mambo ya kufuatiliana kwenye simu na si vinginevyo.
So kwanini tutafute fitina katika ndoa zetu bila sababu ya msingi?
Yaani nisishike simu ya mume wangu kisa naepusha mifarakano? WTF? Acha ije kuliko nikakumbatia bomu la gono na UKIMWI.
Yaani mimi simu nashika ni yeye aache uzinzi. Na hata akichepuka achepuke kwa mateso sio achepuke kwa furaha na uhuru kama vile ni haki yake.