Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
- Thread starter
- #41
NumbisaKama kweli huyo mke yupo ni mpumbavu. Ni aina ya wale wanawake wanaoamukizwa magonjwa ya zinaa ndoani na kupigwa na waume zao kuwa wao ndio wamecheat mpaka kuleta magonjwa ndani ya nyumba. Vile vile ni aina ya wale wanawake wanaofiwa na waume zao kwa magonjwa makubwa na kuishia kulaumiwa na ndugu wa mume kwani nini hajaanza kufa yeye huku akiitwa muuaji
Umeongea maneno mazito kiasi kwamba naona nikiongeza chochote nitaharibu au kuondoa radha nzima ya maneno yako.
Asante Kwa maoni yako