KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,104
We acha tu...........
Ndio maana mie kila kukicha nachange motion sababu kila mwanaume namuona chenga.
Alianza Ruhazwe JR.......hakunichangia.
Akaja @Ruttsshobolwa.........hakunichangia.
wakaja akina Bonny,... Chilli,.... Chimbuvu,... Ben Saanane,... tedo,... Arushaone,... CHAI CHUNGU,... matumbo,... Chibolo,... Remote..............hao woote nimeambulia pakavu.
Jamani SACCOS yangu imenishinda.
Naigawa......
![]()
Uko JUU Madame B. Saccos ina hadi watumuishi wa ......
Last edited by a moderator: