Madaraja, mabarabara ya lami si maendeleo. Magufuli hakufanya maendeo yoyote kwenye utawala wake

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.

Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.

Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu.
Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili
tupate magari.

Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?

Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?

Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.

Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.
 
Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu. Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili
tupate magari.
Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?
Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?
Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.
Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.
Maadili yetu Marehemu hasemwi kwa ubaya.
Saivi Deal na Bi Tozo
 
Sawa nenda kajenge hicho kiwanda Cha magari huko kaliua kusikokuwa na barabara Wala umeme wa uhakika tuone huo uzalishaji utafanyikaje na Hao wafanya biashara watafikaje hapo kiwandani kwako.
NB; maendeleo Bora hayawezi kufikiwa kama hakuna maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora
 
Sawa watetezi wa hayati
 
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.
Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu. Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili tupate magari ya gharama nafuu. Maana haya ya sasa sio mchezo, GPSA bill ya mafuta kwa mwezi mpaka million 2 gari moja, likifika TEMESA bill ya service ndogo millioni moja inakwenda likiharibika kidogo million 5 mpaka 10 au zaidi.
Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?
Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?
Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.
Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.
Akili za wapumbafu wachache machoko unafananisha Tz na hao maendeleo ni stage we kolo itakua njaa zinakusumbua
 
Sawa nenda kajenge hicho kiwanda Cha magari huko kaliua kusikokuwa na barabara Wala umeme wa uhakika tuone huo uzalishaji utafanyikaje na Hao wafanya biashara watafikaje hapo kiwandani kwako.
NB; maendeleo Bora hayawezi kufikiwa kama hakuna maendeleo ya vitu kama vile miundombinu bora
Kuna watu wanaakili fupi sana na wamo JF sikutegemea 😂
 
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.

Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.

Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu.
Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili
tupate magari.

Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?

Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?

Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.

Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.
Hamchoki kumsema Rais bora na shujaa wa Africa?
 
Yule Jamaa alikuwa mwehu hakuwa na akili sawasawa
 
Magufuli ni kweli hakujenga rami ila alijenga lami haya umeshasikiwa katafute pembe ukojoe ukalale!
 
Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.

Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.

Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu.
Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili
tupate magari.

Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?

Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?

Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.

Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.
Kwahiyo viwanda bidhaa unayozalisha utaibeba mgongoni na kichwani kwako kuipeleka sokoni huku unakatiza mapori?
 
ushavurugwa sehemu.

Waulize CiTizens kitu walipata🤣🤣🤣🤣🤣

ww mwenyewe maendeleo yako unayopata hapa JF ni kwa kutumia Jina lake nani atakujua ww?

. Eh Batanzanie mukale mufukiri munataka nn, umanina mmanyoko haisaiidi kwa mufamili

pamoya ya mm.kuwa CHADEMA pro max huyu muzei alikua Leader haitatokee tena. Hat Trump alimkubali🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom