Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu wa sasa amebase wapi ?Alibase zaidi kwenye maendeleo ya vitu sio watu
Mkuu huoni aibu?Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
Hivyo vitu ni lazima kuwepo.
Yaani ni sharti serikali itumie kodi kujenga barabara, miundombinu ya afya na elimu bora.
Maendeleo ni kama yale yanayofanywa na Rais wa Burkina Faso, kajenga viwanda vya magari ya umeme yenye viwango vya kiulimwengu.
Tanzania na nchi zingine miaka michache mbele tutapeleka pesa Burkina Faso ili
tupate magari.
Sasa vile viwanda elfu 20 vya Magufuli viko wapi?
Vinazalisha nini?
Je, kuna nchi inakuja kununua bidhaa kwenye moja ya viwanda hivyo vya Magufuli ambavyo tuliambiwa vimeajiri wafanyakazi million 2?
Mpaka kesho nitabishana na pro Magufuli.
Yule mzee hakuna alilolifanya la ajabu kwenye hii nchi.