Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
hapo umedanganya. na itoshe inazima kabisa hoja yenu kwamba, "Kuna Maendeleo Nchi zilizoendelea" kwa kigezo cha Mabarabara na miundombinu mingine.Ukifika nchi zilizoendelea huwezi kuona watu wanazungumzia mabarabara , ma fly over au ujenzi wa zahanati kama ishara ya maendeleo.
ChoiceVariable atakosa kazi ya kutudanganya kuwa Mh. Rais Samia analeta maendeleo kwa kujenga lami kumshinda Magufuli. Kujenga zhanati na kadhalika.
Itaondoa hoja za sky soldier