Madaraja, mabarabara ya lami si maendeleo. Magufuli hakufanya maendeo yoyote kwenye utawala wake

Yani jinsi ulivyoandika tu Rami badala ya Lami,maendeo badala ya maendeleo,nikajua tu kuna tatizo mahali
Ila hongera kwa kuanzisha uzi,pia kumbuka hakuna anaenzisha kiwanda sehemu isiyokuwa na miundo mbinu ya barabara.
Na kama hizo barabra hazikuwa sehemu ya maendeleo,tuambie zilikuwa sehemu ya nini
 
Mkuu huoni aibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…