Madaraka ni DHAMANA. Wanaomuonea Mbowe watapukutika mmoja baada ya Mwingine

 
Ukinza na Musiba, Makonda, Sabaya, na Baba Lao Mwendazake.

Mbowe hapendi kulia kwa mayowe. Huwa analilia moyoni na Mungu humsikia.
 
Mungu atamlipa.
 
Hata waliosuka mpango mzima wa kesi za Sabaya kwa speed ya 4G nao majibu watayapata.

Kweka aliunda tusk force ya kumridhisha Baba mkwe,lakini naye ameshindwa kuiunda tusk force ingine kumuokoa Baba mkwe.

Siku zinaenda kasi sana!
Vipi wameshatapata??
 
Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !
Wasipojifunza basi watakuwa hawana akili.

Leo Ndugai anaishi kama digi digi then Mbowe anashinda Ikulu na Ma-RPC wanampigia salute🤣🤣
 
Ni kweli...

Sisi sote ni binadamu...

In some different occassions and cirumstances huwa tunafanya makosa ya kutisha na ya kawaida dhidi ya binadamu wenzetu. Makosa haya ndiyo huitwa dhambi...

Hivyo sote sisi tuna dhambi, tunahitaj msaada ili tuokoke toka ktk adhabu ya makosa hayo ambayo huitwa HUKUMU YA MUNGU...

Hivyo tunapowaambia au kuelezana makosa [madhambi] yetu, basi tuelezane na namna ya kuyarekebisha ili kuiepuka hiyo hukumu ya hasira ya Mungu kwa sababu ya kutendeana mabaya sisi kwa sisi wanadamu...

Njia ya kuepuka hukumu na hasira ya Mungu ni moja tu....... Ni kwa njia ya ya TOBA YA KWELI kwa kila mtu hata wewe unayejidhani una "dhambi ndogo" sana kuliko wengine....

Kwa Mungu dhambi ni dhambi tu. Hakuna kubwa wala ndogo. Na kila dhambi lazima ihukumiwe....!

Kwa hiyo TOBA YA KWELI, kwa maana ya KUTUBU/KUKIRI MAKOSA na KUGEUKA/KUACHA MAZOEA YA KUTENDA DHAMBI na kisha kuomba NEEMA na REHEMA ya MUNGU ili aache hasira yake yenye hukumu kwetu, diyo njia sahihi ya kufanywa upya na kuepuka HUKUMU ya adhabu yake...
 
Waliokuwa peak wakitaka chadema ife wamekufa wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…