Mwingereza
JF-Expert Member
- Jan 21, 2014
- 1,115
- 2,771
- Thread starter
- #61
Karma has started his workthubutuuu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karma has started his workthubutuuu...
Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.
WAALIFU Kama Urio, na Kingai , Goodluck, Mahita, Jumanne wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela
Wafanyabiashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina
Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa
Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !
Karma is a BITCH!!
Ataishi maisha marefu, aone wanaye wanavyoteseka.....au ataishi atumie hela zote za dhulma kujkitibuKingai atakufa kifo kibaya sana.
Ukinza na Musiba, Makonda, Sabaya, na Baba Lao Mwendazake.Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.
WAALIFU Kama Urio, na Kingai wanalindwa. Lingwenya, Adamoo na Mbowe wanaozea jela
Wafanyabiashara wengi wamenyang'anywa mali zao. Raia wasio na silaha wala namna ya kujitetea ndio wananyanyswa na wenye madaraka na silaha za kila aina
Zaidi tunashuhudia Mheshimiwa Mbowe na vijana wake wakiwa gerezani kwa marisa yasiyoeleweka. Duniani tunapita, ila hawa watesi, Watengeneza kesi, wanaotetea hizi kesi za uonevu watapukutika mmoja baada ya mmoja. Hata kama ni kwa kulinda madaraka waliyo nayo, hawa ndugu zetu hawaweza kuishi kuijua kitu kiitwacho amani. Kama siyo wao, familia zoo zitaishi kwa mateso makubwa
Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !
Karma is a BITCH!!
Option ya pili ndio naiona kwa watu wengi siku hiziAtaishi maisha marefu, aone wanaye wanavyoteseka.....au ataishi atumie hela zote za dhulma kujkitibu
Mungu atamlipa.MTU huyu AMEONEWA SANA na UTAWALA wa Awamu ya 5
Ameharibiwa Shamba lake,Eneo lake la Biashara,Amefungiwa Akaunti zake,Amesingiziwa Kesi nyingi sana yeye na Viongozi wa Chadema
Ameharibiwa gari lake
Amedhulumiwa Ubunge wake
LEO ANABAMBIKIZIWA UGAIDI kwa Kuonewa
Hakika MUNGU ATAMLIPIA TU
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Vipi wameshatapata??Hata waliosuka mpango mzima wa kesi za Sabaya kwa speed ya 4G nao majibu watayapata.
Kweka aliunda tusk force ya kumridhisha Baba mkwe,lakini naye ameshindwa kuiunda tusk force ingine kumuokoa Baba mkwe.
Siku zinaenda kasi sana!
Vipi unasemaje mkuu wa kikosi hapo lumumba?Mbowe mwenyewe anachopitia sasa hivi Ni matokeo ya kuonea na kuua watu.
Karma is a bitch.
Wasipojifunza basi watakuwa hawana akili.Tunafika sehemu Mbowe anawekwa jela kwamba ni Ghaidi. Tusimchezee mtu aitwaye Mungu. Hawa watu hawataweza kuishi kuiona amani kutokana na uonevu wao. Magufuli, Makonda, Sabaya, Ndungai ni mfano hai...... Watch the space !
hii ndio comment ya akili kwa mwaka huu?Thread ya Kipumbavu kwa mwaka huu so far
Ni kweli...Tumekuwa tukisikia malalamiko mengi sana. Mengi sana dhidi ya wenye madaraka wanaobambikia watu kesi za ajabu ajabu hasa za kisiasa. Ingawa watu wanaonewa kila kona, wanauwawa bila hatia na polisi kwa mfano kule Mtwara, kijana asiyekuwa na hatia kauwawa sababu ya dhulma.