Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Majaliwa akiukosa Uwaziri Mkuu Kwa awamu hii litakuwa ni pigo kubwa sana kwake Kisaikolojia.
Itakua ni halali kabisa kukosa kuliko kupata.
Ameonyesha mfano mbaya sana kwenye jimbo lake wakati wa mchakato mzima wa kuchukua fomu na kurejesha fomu wapinzani wake kwani walilalamika wazi kuwa walihujumiwa na hakuachukua hatua yoyote ya kukemea hali ile kwa wazi na kumwambia mkurugenzi asimamie sheria na kutoa fursa kwa wapinzani ili wakutane kwenye sanduku la kura na angewashinda vibaya lakini kutembeza mpunga ili kuuhadaa umma na kuwaandaa wahuni wa kupora watu fomu ilikua ni kashafa kubwa sana. Nchi hii ni kubwa kuliko mtu mmoja na cheo chake .

Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.
 
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
 
Naona unachonga na kuchonganisha sana ili kanuni ile ya "divide & rule" itimie. FYI: Utajaribu weee but where.
 
Ukimwona kiongozi fulani kadumu na JPM miaka 5, huyo ni moto wa kuotea "pwani."
 
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
Mchukueni Benard Membe awe Mwenyekiti wa Chama, ataleta taswira nzuri katika upinzani na pia atakuwa kiungo safi hasa wakati huu ambapo chama kimejeruhiwa vibaya kwenye sanduku la kura. Huwa ana logics fulani za kisomi na ustaarabu.
 
Kuna mtu alimuuta Ali Chemical wa Iraq kwa kuchapisha mabango ya kutengeneza na kuyatupia JF yakionyesha Lissu anashinda.
 
Kati ya mimi na wewe unayetumia VPN ku like nyuzi za magufuli mtu aliyefungia mitandao nani kanyooka ? kwa taarifa yako sisi hatujawahi kukata tamaa na hatutakuja kukata tamaa hadi ccm ing'olewe kwa halali ama kwa haramu
Kwa halali ama kwa haramu? Kwa chama gani? Ambacho mlishagawana ruzuku na viti vya ofisi?
 
Kama ni hivyo ni kwanini wanafanya uchaguzi kupotezea watu muda na pesa. Watu hawalali majumbani mwao wakifanya kampeni kumbe mshindi anajulikana.
 
Kama ni hivyo ni kwanini wanafanya uchaguzi kupoteza watu muda na pesa. Watu hawalali majumbani mwao wakifanya kampeni kumbe mshindi anajulikana.
Kwa ajili ya ustawi wa Tanzania, ustawi wa Watanzania ukiwepo wewe Ndugu yangu na kizazi chako.

Zanzibar lazima ibakie ndani ya Muungano tena ikiongozwa na Mtanzania mwenzetu anayeelewa thamani ya Muungano wetu adhimu.

NB: MAJALIWA anaendelea kuwa PM
 
Makamanda wa kusadikika
 
Ahadi Ya Mwana Tanu
Cheo Ni Dhamana,
Rushwa Ni Adui Wa Haki,
 
Sisi tushajiweka kisaikolojia kutawaliwa milele na CCM
 
Naskia mwana ni mnyika.
 
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
Pombe ni starehe za watu, Kama ambavyo wengine Wana starehe zao, so hachana kufuata futa maisha ya watu ,deal na maisha yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…