1000 digits
JF-Expert Member
- Oct 16, 2012
- 7,201
- 9,529
Itakua ni halali kabisa kukosa kuliko kupata.Majaliwa akiukosa Uwaziri Mkuu Kwa awamu hii litakuwa ni pigo kubwa sana kwake Kisaikolojia.
Ameonyesha mfano mbaya sana kwenye jimbo lake wakati wa mchakato mzima wa kuchukua fomu na kurejesha fomu wapinzani wake kwani walilalamika wazi kuwa walihujumiwa na hakuachukua hatua yoyote ya kukemea hali ile kwa wazi na kumwambia mkurugenzi asimamie sheria na kutoa fursa kwa wapinzani ili wakutane kwenye sanduku la kura na angewashinda vibaya lakini kutembeza mpunga ili kuuhadaa umma na kuwaandaa wahuni wa kupora watu fomu ilikua ni kashafa kubwa sana. Nchi hii ni kubwa kuliko mtu mmoja na cheo chake .
Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.