Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Tetesi: Madaraka ni dhamana ya muda mfupi sana. Je, Lukuvi kumpiku Majaliwa?

Majaliwa akiukosa Uwaziri Mkuu Kwa awamu hii litakuwa ni pigo kubwa sana kwake Kisaikolojia.
Itakua ni halali kabisa kukosa kuliko kupata.
Ameonyesha mfano mbaya sana kwenye jimbo lake wakati wa mchakato mzima wa kuchukua fomu na kurejesha fomu wapinzani wake kwani walilalamika wazi kuwa walihujumiwa na hakuachukua hatua yoyote ya kukemea hali ile kwa wazi na kumwambia mkurugenzi asimamie sheria na kutoa fursa kwa wapinzani ili wakutane kwenye sanduku la kura na angewashinda vibaya lakini kutembeza mpunga ili kuuhadaa umma na kuwaandaa wahuni wa kupora watu fomu ilikua ni kashafa kubwa sana. Nchi hii ni kubwa kuliko mtu mmoja na cheo chake .

Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.
 
Mkuu kwa Sasa Mambo yao tuwaachie,

Nashauri kwa Sasa chadema kuanzisha chadema family nchi nzima ili wanachama popote walipo waweze kuwa umoja imara wa kusaidiana katika shida na Raha, huu mpango nafikili ulikuepo so nafikili ni mda wa kuimarisha zaidi na utekelezaji wake uanze Mara moja wakati mengine ndani ya chama yakiendelea.
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
 
Itakua ni halali kabisa kukosa kuliko kupata.
Ameonyesha mfano mbaya sana kwenye jimbo lake wakati wa mchakato mzima wa kuchukua fomu na kurejesha fomu wapinzani wake kwani walilalamika wazi kuwa walihujumiwa na hakuachukua hatua yoyote ya kukemea hali ile kwa wazi na kumwambia mkurugenzi asimamie sheria na kutoa fursa kwa wapinzani ili wakutane kwenye sanduku la kura na angewashinda vibaya lakini kutembeza mpunga ili kuuhadaa umma na kuwaandaa wahuni wa kupora watu fomu ilikua ni kashafa kubwa sana. Nchi hii ni kubwa kuliko mtu mmoja na cheo chake .

Ikiwezekana Lukuvi apate nafasi awanyooshe mafisadi Mkuu apate muda wa kupumua.
Lukuvi Hoyeeee!
Mstaafu hoyeeee.
Asanteni sana , wote tumweke Mungu Mbele.
Naona unachonga na kuchonganisha sana ili kanuni ile ya "divide & rule" itimie. FYI: Utajaribu weee but where.
 
Kiukweli Waziri mkuu alipaswa kuwa Lukuvi Tangu awali.
Walifanya hivyo tu kimkakati zaidi .

Kwa hiyo nadhani Lukuvi ni mtu sahihi zaidi na mbunifu kuliko aliyemaliza muda wake .
Lukuvi ni mbunifu sana na mchapakazi kwa kiwango cha juu sana. Lakini pia sio mtu wa starehe zaidi ya kazi tuu.

Any way hata iyemaliza muda wake naye sio mbaya sana. Anajitahidi kupiga kelele lakini sio mbunifu kivile ukimlinganisha na Lukuvi.
Niketeeni Lukuvi.
Yule alikimbia mpaka Ushindani kwa kuwahujumu wagombea wote wa upinzani na kupita kinyemela. Mungu anamuona. Hakupaswa kutumia mpunga kuupata ubunge . Imemletea picha mbaya sana na kuonyesha kuwa ameshindwa kuonyesha mfano mzuri wa kusimamia sheria za nchi katika kujenga Utawala bora na Demokrasia.
Ukimwona kiongozi fulani kadumu na JPM miaka 5, huyo ni moto wa kuotea "pwani."
 
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
Mchukueni Benard Membe awe Mwenyekiti wa Chama, ataleta taswira nzuri katika upinzani na pia atakuwa kiungo safi hasa wakati huu ambapo chama kimejeruhiwa vibaya kwenye sanduku la kura. Huwa ana logics fulani za kisomi na ustaarabu.
 
Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.

Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
Kuna mtu alimuuta Ali Chemical wa Iraq kwa kuchapisha mabango ya kutengeneza na kuyatupia JF yakionyesha Lissu anashinda.
 
Kati ya mimi na wewe unayetumia VPN ku like nyuzi za magufuli mtu aliyefungia mitandao nani kanyooka ? kwa taarifa yako sisi hatujawahi kukata tamaa na hatutakuja kukata tamaa hadi ccm ing'olewe kwa halali ama kwa haramu
Kwa halali ama kwa haramu? Kwa chama gani? Ambacho mlishagawana ruzuku na viti vya ofisi?
 
Simpendi Jiwe ila huyu jamaa alichokiongea kwenye hiyo video ni ukweli mtupu. Zanzibar ukiacha waanzishe serikali ya kiislamu jiandae kuona magaidi wanasukwa, itakua centre nzuri sana ya makubdi yote ya kigaidi kama alshabaab kwenda kusettle Zanzibar. Then baada ya miaka michache wataanza kutusumbua bure. Zanzibar sio ya kuachwa iangukie huko hata siku moja.
Kama ni hivyo ni kwanini wanafanya uchaguzi kupotezea watu muda na pesa. Watu hawalali majumbani mwao wakifanya kampeni kumbe mshindi anajulikana.
 
Kama ni hivyo ni kwanini wanafanya uchaguzi kupoteza watu muda na pesa. Watu hawalali majumbani mwao wakifanya kampeni kumbe mshindi anajulikana.
Kwa ajili ya ustawi wa Tanzania, ustawi wa Watanzania ukiwepo wewe Ndugu yangu na kizazi chako.

Zanzibar lazima ibakie ndani ya Muungano tena ikiongozwa na Mtanzania mwenzetu anayeelewa thamani ya Muungano wetu adhimu.

NB: MAJALIWA anaendelea kuwa PM
 
Wewe dada mapema hii umesha nyoosha na mikono, nilikuwa nakuona Kamanda kwelikweli kumbe ni Kamanda nyuma ya keyboard tu.

Kamanda wa kweli atabaki kuwa Mbowe tu ambae angalau amejaribu kuonyesha ukamanda wake, nyie Hawa makamanda JF ni wanafiki na wapiga kelele wa online tupu Wala hamna faida ndani na nje ya Chama.
Makamanda wa kusadikika
 
Ahadi Ya Mwana Tanu
Cheo Ni Dhamana,
Rushwa Ni Adui Wa Haki,
 
Sisi tushajiweka kisaikolojia kutawaliwa milele na CCM
 
Lukuvi na Majaliwa hawapishani kiutendaji but Lukuvi ni harsh zaidi, Kwa vile ni swahiba wa muda mrefu wa mkuu, huenda akamwachia kiti 2025 so lazima awe kwenye better position, istoshe Lukuvi yupo aware Sana na miradi mizito ya mkuu ambayo kimsingi hata 2025 haitakuwa imekamilika.

Hivyo ili ikamilike inahtaji atayepokea kijiti awe more experienced kwenye serikali kitu ambacho majaliwa anakosa lakni Lukuvi anacho. Lakn mkuu ulidai Lissu asipoapishwa bas ndo mwisho wa tz, vip mbna thread zako zinaonyesha tz inasonga mbele?
Naskia mwana ni mnyika.
 
Mwondoeni kwanza mlevi yule ameshapoteza mvuto.
Hana amshaamsha ameshachanganyikiwa .
Pombe ni starehe za watu, Kama ambavyo wengine Wana starehe zao, so hachana kufuata futa maisha ya watu ,deal na maisha yako
 
Back
Top Bottom