tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Heri ya madaraka sio yule chapombe mropokaji 24hrs kalewa,familia kamtelekezea mkeBaada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.
Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu ilihali wananchi wakihitaji kusaidiwa katika shughuli za maendeleo yao.
#UchaguziMkuu