Uchaguzi 2020 Madaraka Nyerere, mtoto wa Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, ametangaza kuwania nafasi ya ubunge wa Butiama

Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.

Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu ilihali wananchi wakihitaji kusaidiwa katika shughuli za maendeleo yao.

#UchaguziMkuu
Heri ya madaraka sio yule chapombe mropokaji 24hrs kalewa,familia kamtelekezea mke
 
Anaenda Kurithi Jimbo kutoka kwa Nduguye Nimrod E. Mkono, hongera na namtakia Mafanikio Mema Balozi Madaraka Nyerere
 
Uroho unamsumbua Mali zote alizoiba baba yake azimtoshi mpaka atamani ubunge.
Kuna wakati unaweza kuandika kitu bila kutafakari baadae ukajishangaa ile ilikuwa akili yako ya kawaida au ulikumbwa na nini?

Mfano ni hiki ulicho andika na majibu unayopata toka kwa wadau.
Bado unao wakati wa kujisahihisha namna ya kuchangia maoni yako humu JF na mahali popote pale penye hadhira kubwa inayokufuatilia au kukusikiliza.
 
Hivi huyo mbunge wa hilo jimbo miaka yote aliyolazwa huko Marekani alikuwa analipwa posho zake kama kawaida?
 
Hili linawezekana tu ktk chama chetu chakavu, kwa upinzan hasa ukiwa msumbufu hatukulip
Hivi huyo mbunge wa hilo jimbo miaka yote aliyolazwa huko Marekani alikuwa analipwa posho zake kama kawaida?
 
Anafaa na hivi ni kijani ushindi nje nje asubuhi ...go go Madaraka
 
Uroho unamsumbua Mali zote alizoiba baba yake azimtoshi mpaka atamani ubunge.

Acha upuuzi wewe usitafute pesa kisa baba yako alikuwa na pesa?
Ingekuwa hivyo akina karume,mwinyi,kenyata n.k ambao baba zao walishika nchi wasingeutaka urais au ubunge
Tafuta pesa acha kutegemea alizotafuta baba andazi kweli wewe
 
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.

Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu ilihali wananchi wakihitaji kusaidiwa katika shughuli za maendeleo yao.

#UchaguziMkuu
Amesubiri akongoroke ndio aingie bungeni !
 
Baada ya Rais kutangaza kulivunja bunge la 11 leo Juni 16,2020 mtoto wa baba wa Taifa Madaraka Nyerere ametangaza rasmi kugombea nafasi ya ubunge kwa Jimbo la Butiama mkoani Mara.

Madaraka Nyerere ametangaza nia hiyo kutokana na Mbunge aliyekuwepo kukaa muda mrefu nje ya nchi akipata matibabu ilihali wananchi wakihitaji kusaidiwa katika shughuli za maendeleo yao.

#UchaguziMkuu
Nimejaribu kuangalia physical appearance ya madaraka nyerere kwa kweli naona amesha chelewa ....

Umri umeshamtumpa mkono hayo mambo awachie tuu vijana
 
Safi sana.
Nampongeza Madaraka Nyerere, asingetangaza tungemlazimisha atangaze.
This is a credible family.
Wanafaa saana.
 
Back
Top Bottom