ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,858
.. Mkoroshokigoli mimi nilizaliwa na kukulia mtaa ufipa miaka ile zamani hata chadema walikuwa hawapo mtaa wte walikuwa wanauza ngomaaa nyumba zote mtaa ulikuwa balaa yaani...kuna maskani ya aiax wauza unga wapo wengi alafu kuna mateja kama 100, ilibidi kitengo wapige kambi kuua biashara hapo.walikaa for miezi kama 3 kuna bosi mmja wa kitengo abaitwa ndaki alishanikamataga jamaa alidhamiriaa kuua biashara pale, maana aliyekuwepo na yupo wte ndani...kinondoni hakufai kwa unga kabisa
kweli kesi zipo kimya tu...mfanu othman aliyekamatws na mtoto wa lyumba bdo wako rumande....shkuba naye jiiiiii, labda wanasubiri jk atoke na wao wawafanyie mipango watoke
naskiaa kakamatwa na mzee mtama mchungu kama naye kadakwa dah balaa maana mzee hyo balaaa zte yumo
kwann unasema kino watapata pigo, ila mtamaa mzee wngu yule kitambo namjuaa dili zte yy visa, mihuri feki yeye, daah magumashi sanaaa mzee yule..ulikua ukienda kwake kama uko ubalozini mnasubiri kuhojiwa mpate viza
manyanya pale wanauza kama wanalipa kodi ila kuanzia juzi defenda zinapitaa znawakamata mateja na wauzaji kna polisi wametoka depo....
alafu muda fulani nlipita mitaa ya chonji naona pametulia kna jamaa yangu mmja yko jirani anasema polisi waliokja hapo walikuwa ba wazungu tka france na polisi wa nzoa kitengo naskiaa waliwapa kichapo maana wengine walikuwa mazoezini gym si chonji ana gym na ana ma master waa kata naskia wacha wapigwe kna bondia mmja wa tz naye alikuwepo tena maarufu tu akatoka nduki aliruka ukuta baada ya kuona kichapo kikali

Hao Polisi watakua ni wapya mkuu kuna Polisi anaitwa makomeo wa oysterbay na team yake mbn wana siku zao za kuja kuchukua chao hapo manyanya!?ila siku mapusha wakikataa kutoa ndo wanaleta defender!!fanya yako tu nchi imeshavunjwa bikra hii imebaki kugawa papuchi tu kwa kila mwanaume a.k.a imekua kahaba au haujasikia miss tz ya solo thang?
Kuna wale wapakistan walokamatwa na 26kg Kule mbezi beach walishatoka kwa dhamana na unasemekana wametoroka...ni tatizo sana na hii serikali yetu!!!
wale wa kilo mia 2 walokamatwa na JAHAZI JE?????HUKO NCHI JIRANI INAYODAI MAMLAKA YAKE KAMILI???WALITOKA AU BADO WAPO NDANI
Mwenye CV yake pliz...
Tatizo wanaokamatwa ni vidagaa tu...
Good Business yenye return kubwa kuliko! Kama ni Mission ya CIA kuihujumu CHina via Dawa za Kulevya na Tanzania ni njia tu... then hakuna shida! Tatizo ni pale ambapo Vijana wetu wanaishia kunyongwa huko China ... Plantation Za Colombia zote zinamilikiwa na kuendeshwa na CIA ...
Hao Polisi watakua ni wapya mkuu kuna Polisi anaitwa makomeo wa oysterbay na team yake mbn wana siku zao za kuja kuchukua chao hapo manyanya!?ila siku mapusha wakikataa kutoa ndo wanaleta defender!!fanya yako tu nchi imeshavunjwa bikra hii imebaki kugawa papuchi tu kwa kila mwanaume a.k.a imekua kahaba au haujasikia miss tz ya solo thang?
Asikudanganyeni mtu ukikamatwa na kuanzia kilo moja ukafikishwa mahakamani umekwenda na maji.
Labda mnisaidie kwenye hii miaka ya nzowa nani mnayemjua alikamatwa na zaidi ya kilo moja akafikishwa mahakamani halafu akatoka
Hivi kina lizbon, msalani, faizafox na wengineo hawalipwi wakichangia mjadala wenye tija kwa nchi, au kyama kyao kyahusika?