Madawa ya Kulevya: Mfanyabiashara Mharami Mohamed na wenzake 4 wakamatwa na kilo 7 za Heroin

Kiruuuuuuuuuuuuuuu ndio maana Mange kaishabikia hii habariii hhhhhhhaaaa
Ila mwanangu na sie tuanze kuuza sembe tuwatese watu kama mzirai na mkewe na walivyowatesa watu sasa hiv kimyaaaa

Yeah ndo mana Mange anatamani kufanya party...
Shosti labda tuuze Sembe la kusongea ugali...ila lile lingine hapanaaa....kisa cha kuishi roho juu nini?
 
Ook wakome kama Jack wa Maccau sijui makavu
Hilo hilo sembe tuuze au lenyewe halitarijishiii
 
Yote hii kupenda sifa mjini...kututisha insta na brands za ukweli kumbe ni unga ndio unaowaweka mjini...Mungu anaona tunasubiri tuone hizo pesa zao zina nguvu kiasi gani...bora sasa magomeni tutapumua jamani..looh ilikua shiiiidah na hizo ndinga
 
Ilikua ni hatari nakuambia...yaani polisi walivyovamia hata angekua fit vipi asingeweza kutoroka...alijitahidi nae kurusha risasi lakini wapi...huyo mwenzie ana machale sana sijui kajifukia wapi

Unaambiwa jamaa kapishana nao mana katoka tu ndio police wakavamia ila best kasema wamepigwa sana n kesho wanapelekwa hosp kutibiwa ila abdul ndio walikua wanamtaka
 
Bongo opportunitie zipo nyingi tu ukijituma na kufanya kazi kwa bidii unatoka vzuri tena sana majority ya vijana wanapenda short cut sana ndo mana wanaona sembe ndo opportunity kuna form four wana maisha mazuri sana tu sema majority ya Youth Tanzania hawana udhubutu na zipo opportunity nyingi usipo komaa utaona life gumu tu

Niambie Diva Beyoncé...upo poa ...nikweli kabisa vijana hawana uthubutu, wanataka shortcut ili waishi maisha mazuri haraka haraka
 
Unaambiwa jamaa kapishana nao mana katoka tu ndio police wakavamia ila best kasema wamepigwa sana n kesho wanapelekwa hosp kutibiwa ila abdul ndio walikua wanamtaka

Abdul ndio mume wa Shamimi:beer:😡😱😕😕😀🙁🙁🙁
 
Ook wakome kama Jack wa Maccau sijui makavu
Hilo hilo sembe tuuze au lenyewe halitarijishiii

Sembe la dona halitajirishi mwaya...

Hilo lingine ndo hivyo arobaini ikifika mtu unaishi kama ndegee...
 
Yote hii kupenda sifa mjini...kututisha insta na brands za ukweli kumbe ni unga ndio unaowaweka mjini...Mungu anaona tunasubiri tuone hizo pesa zao zina nguvu kiasi gani...bora sasa magomeni tutapumua jamani..looh ilikua shiiiidah na hizo ndinga

Hiyo biashara ina wazito wengi istoshe mpka kukamatwa kuna m2 kawauza n migomigo n kino ndio vituo vikuu vyao
 
Abdu tycoon akiwekwa ndani bongo movie wanakufa njaa lulu, kajala, Steve, watakuwa na matumbo ya kuharisha saa ivi

Mjini hapa kuna maajabu jamani???Mimi ndio maana sipendi haya mambo ya sifa zisizokua na maana...
 
Unaambiwa jamaa kapishana nao mana katoka tu ndio police wakavamia ila best kasema wamepigwa sana n kesho wanapelekwa hosp kutibiwa ila abdul ndio walikua wanamtaka

Ilikua vita sio vita movie sio movie...ana bahati kwelikweli sijui huko aliko ana hali gani...nasikia wamebanwa hadi wanataja wenzao...
 
Wamekamatwa Madon wa sembe wa Magomeni akiwemo Chonja (muuzaji maarufu)
Chonja ni rafiki wa karibu wa Mume wa Shamim Mwasha..blogger wa 8020 blog...Duru za kiumbea zinaripoti kuwa Mume wa Shamim..(Abdul Nsembo) naye anasakwa na vijana wa Nzowa coz anashiriki katika madeal ya Sembe...

Huo mzigo ulikua transit kwenda zambia n sauz itakua kuna m2 wao kawauza ila abdul yuko smart sana kimipango ana malori y mizigo mengi tu yameandikwa nsembo transport,ila kaponea mana kapishana n police kma 30mnts tu alivyotoka then wakakutwa wa2 wake
 
Ilikua vita sio vita movie sio movie...ana bahati kwelikweli sijui huko aliko ana hali gani...nasikia wamebanwa hadi wanataja wenzao...

Unajua police wanakula nao deal istoshe yeye yupo n hata best wangu wanawasiliana cz waliokamatwa ndio wenye mzigo cz yeye hakuwepo pia huo mzigo unakua transit kwenda sauz cz ni mwingi
 
Huo mzigo ulikua transit kwenda zambia n sauz itakua kuna m2 wao kawauza ila abdul yuko smart sana kimipango ana malori y mizigo mengi tu yameandikwa nsembo transport,ila kaponea mana kapishana n police kma 30mnts tu alivyotoka then wakakutwa wa2 wake

Wanadai ndugu wa jamaa aliyefanyiwa kitu mbaya ndo wamegmhangaika kuwachomea.

Nasikia simu za Chonja zilikuwa zinafuatiliwa na kusikilizwa na Polisi masaa 24...ndo wakawadaka.
 
Unajua police wanakula nao deal istoshe yeye yupo n hata best wangu wanawasiliana cz waliokamatwa ndio wenye mzigo cz yeye hakuwepo pia huo mzigo unakua transit kwenda sauz cz ni mwingi
sasa yeye kakimbia nchi kabisa au kajificha humu humu? Maisha gani hayo jamani
 
Mrs Sembe yupo ndani ya gorofa mbezi beach,atamkumbuka baba Iqra,ndo faida ya kutaka pochi za LOIUS VUITTO,MICHAEL KORS,na kutaka kupush range,huku wengine wanalia watoto wao wanaharibika kwa unga,wakamatwe tu hawa
 
vijana wengi wa magomeni, kinondoni ndo zao kuuza sembe sasa fagio la chuma linawazoa mmoja mmoja mpaka liwamalize naona PRINCE anataka kubaki peke yake kwenye game apige hela nyingi mwenyewe.
 
sasa yeye kakimbia nchi kabisa au kajificha humu humu? Maisha gani hayo jamani

Yupo hpahpa cz wamekamatwa vijana wke istoshe hawa madon wana viongozi wakuwalinda kumbuka mkulu analist yao ila kimya,madon wapo mawaziri,wachungaji
 
Mrs Sembe yupo ndani ya gorofa mbezi beach,atamkumbuka baba Iqra,ndo faida ya kutaka pochi za LOIUS VUITTO,MICHAEL KORS,na kutaka kupush range,huku wengine wanalia watoto wao wanaharibika kwa unga,wakamatwe tu hawa
jamani na yeye anataka udada wa mjini baba iqra asingeweza ma MK na mengineyo eeeeeheeeee chezea mtoto wa kichaga wewe tamaa mbele mauti nyuma
 
Back
Top Bottom