Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Endeleeni hivyo hivyo kusherekea maana paka amewapatia muda wa kupumua mmetoa vichwa mashimoni.

Ila mtakapo anza kukaangwa na vitoto vyenu msiseme Israel ni muonevu anachoma watoto, kumbuka mtoto wa nyoka naye ni nyoka....
 
Ulishwaona makomandoo wa Kipalestina wakilia? Tazama wanaoilia, wanasema wanapigana na mizimu (ghosts"
Utawaona wapi hamas wakilia wakati muda wote mashimoni kama fuko.
Kingine unapoleta habari,leta kutoka katika vyanzo aminika,acha kuokoteza vitu vya propaganda
 
Mayahudi yanasaidiwa na NATO kwa kutuma majeshi hayawezi kitu
 
Wanaigiza tu hao vita vikianza wanajificha mashimoni kama panya wanawatumia watoto kama ngao kutafuta utetezi wa haki za binadamu tunataka vita vipiganwe bila kujificha ficha kwenye makazi ya raia

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Hii Vita imeleta maafa makubwa kwa raia wa pande zote hasa Gaza, ni vyema imalizike tu sasa.
 
Sasa mbona magaidi wenyewe wanaojionyesha hawafiki hata 50 haya ni maigizo tu

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Kwangu mimi hao wapiganaji ni waoga na wanafiki tu.
Yaani wamesubiri siku ya mbadilishano wa mateka (ambapo mashambulizi yamesitishwa kwa muda) ndio wametoa pua zao hadharani. Walikuwa wapi siku zote mpaka mayahudi yanaichukua Gaza?
 
Ulishwaona makomandoo wa Kipalestina wakilia? Tazama wanaoilia, wanasema wanapigana na mizimu (ghosts"

View attachment 2826963
Hawa watawasimulia wenzao nakwambia hakuna atakaerudi kupigana katika ardhi ya Gaza. Wabakie huko kwenye airstrikes labda . Nasikia wameanza kukimbia serikali imeanza kuwashtaki wanaokimbia vita.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…