Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utawaona wapi hamas wakilia wakati muda wote mashimoni kama fuko.Ulishwaona makomandoo wa Kipalestina wakilia? Tazama wanaoilia, wanasema wanapigana na mizimu (ghosts"
Mayahudi yanasaidiwa na NATO kwa kutuma majeshi hayawezi kituBrigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.
Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.
Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.
View attachment 2826940
Hii Vita imeleta maafa makubwa kwa raia wa pande zote hasa Gaza, ni vyema imalizike tu sasa.Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.
Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.
Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.
View attachment 2826940
Sasa mbona magaidi wenyewe wanaojionyesha hawafiki hata 50 haya ni maigizo tuBrigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.
Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.
Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.
View attachment 2826940
Sijui kama wewe watakutaka au una binti bikra?Hao mashujaa tunaanza kuwazadia hapahapa duniani chochote wanachotaka.
Nasikia naye akifa atakuwa bikra sijui atashonwa?Acha ngono zembe wewe., mzawadie mumeo. Hao watapewa mabikira na allah
Nyie mashoggaWalikuwa hawataki bikra 70 za ahera, Uislamu ni utapeli
Mbona wewe umebana tu hapo Keko Magurumbasi ni lini utaenda basi uwape tunda wale.Hao mashujaa tunaanza kuwazadia hapahapa duniani chochote wanachotaka.
Ndio maanake.Kwa hio FaizaFoxy akiua kafr anaenda kua bikra ahera madukani alafu anakua mmoja wa mabikra 72 wa mwislamu mmoja ambae hajijui yupo humu humu JF
Hayo ndio maneno mliyo baki nayo bure kabisa. [emoji1787]Wakianza tena kutandikwa wanakimbilia shimoni na kuanza kulia lia ceasefire,yani mnachekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii single imeshachuja tafuteni nyingine [emoji1787]Wakipigwa wanaanza kuweka vitoto mbele.
Mayahudi wamezikwa misikitini na selfie [emoji1702] zao walikua wanajua Al- qassam wanataniaHao makomandoo walikuwa wapi siku zote mpaka Mayahudi wanaingia Gaza yote na kujivinjari mpaka misikitini huku wakipiga selifie za dhihaka?
Acha vitisho vya kitoto wewe mlokole.Endeleeni hivyo hivyo kusherekea maana paka amewapatia muda wa kupumua mmetoa vichwa mashimoni.
Ila mtakapo anza kukaangwa na vitoto vyenu msiseme Israel ni muonevu anachoma watoto, kumbuka mtoto wa nyoka naye ni nyoka....
Kwani uongo?,wakirusha maroketi kwenda kwenye taifa teule takbrirr nyingi lakini mambo yakigeuka tunaanza kuonyeshwa picha ya vitoto ili magaidi yaonewe huruma.Hii single imeshachuja tafuteni nyingine [emoji1787]
Hawa watawasimulia wenzao nakwambia hakuna atakaerudi kupigana katika ardhi ya Gaza. Wabakie huko kwenye airstrikes labda . Nasikia wameanza kukimbia serikali imeanza kuwashtaki wanaokimbia vita.Ulishwaona makomandoo wa Kipalestina wakilia? Tazama wanaoilia, wanasema wanapigana na mizimu (ghosts"
View attachment 2826963