Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Game iko Half time. Ngapi ngapi wale munaoangalia live?
 
Eti ni mashujaa, mashujaa kwani wameshinda vita? Walianzisha mashambulizi kipondo wakakipata mpaka dunia yao ikaomba po! Ilikuwa wasagwe tikitiki nyang'anyang'a kwenye mashimo yao. Unawaita mashujaa wakati hata walichokuwa wanakipigania hawajakipita. Kama vipi waendelee kushambulia mpaka wakipate wanachokitaka, wakikipata ndio uwaite mashujaa
 
Tatitizo lako unakuwa mpumbavu uliyekithiri unakaririshwa na media. Za magharib .
 
Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.

Masnitch tu kwakuwa mbele ya camera. Unaona yanakomaa kuwapungia mikono lakini mateka hawataki hata kuyatazama. Behind the scene huko hakuna upendo.

Mwanadamu ni kiumbe wa hovyo sana ambaye ana tabia ya kutengeneza tatizo kisha analitatua halafu anataka apate maujiko akionekana mwokozi
 
Sasa mbona hueleweki mara useme hamas wanapiganiwa na mwenyezi mungu ni kama ghost tena unabadirika unasema hamas ni migambo tushike lipi kwamba nyinyi ni dhaifu au mnuwezo wa kupigana na yeyote?
Kama sieleweki tatizo ni uelewa wako, siyo mimi.
 
Wewe umerukwa na akili sio bure Israel wamekufa 1200 Gaza wamekufa za ya watu 13000 bado unaona hamas ndio washindi,haya mmepewa offer ya truce siku 2 ngoja muendelee kupelekewa moto muanze kuomba msaada mazayuni yasimamishwe.
13,000 wagonjwa, watoto na wazee, mazayuni wote ni wanajeshi, zaidi ya 3,000, hawasemi kweli tu.
 
Sheria na kanuniu za vita huruhusiwi kupiga hospitai hata kama kuna maadui ndani, wasubiri nje.
Ijumaa sip mbali ,hiyo poo itakua imeisha kipondo kinarudi upya,
Usije kufukia kichwa mchangani tena huku umeyacha maboga yako juu.
Safari hii hakuna mswalie muddy.
 
Ijumaa sip mbali ,hiyo poo itakua imeisha kipondo kinarudi upya,
Usije kufukia kichwa mchangani tena huku umeyacha maboga yako juu.
Safari hii hakuna mswalie muddy.
Washaamua kuendeleza mpaka mateka wote waishe, umelala wewe.

Muendelezo uliopo sasa hivi ni Hizbollah anasema yeye kusimamisha mapigo hakumuhusu. Ndiyo anaombwa sana atulizane.
 
Washaamua kuendeleza mpaka mateka wote waishe, umelala wewe.

Muendelezo uliopo sasa hivi ni Hizbollah anasema yeye kusimamisha mapigo hakumuhusu. Ndiyo anaombwa sana atulizane.
kile kikundi kingine cha kipalestina cha islamic jihad kiko wapi? Naona hisbollah kinajititimua kikiwa huko lebanon. Fatah hao wameshakuwa watu wa amani hawataki vurugu wenyewe ni mazungumzo ya amani tu. Fatah ndio kikundi cha kistaarabu kinachotakiwa kitawale eneo lote la wapalestina
 
Hizbollah anasema yeye kusimamisha mapigo hakumuhusu. Ndiyo anaombwa sana atulizane.
We ni mwehu,Hizbollah ndo walianza kupata kipigo kabla ya Gaza ulikua wapi?
Wamekuja kusherehekea Magaidi ya Hamas wakatandikwa mpk kwao ndani.
Ndio walume wakarudi kujipanga wakavurunde Gaza.
Ila aliyeanza kupata kipigo ni hezbollah mapema tu.
 
Hili libi ajuza lina matatizo, ngoja waanze kutwangwa tena
 
Hawa vichaa Wala hawajutii vizazi na mji wao kichakazwa. Huenda Kuna vitu vichafu wanalishwa
 
Hawa vichaa Wala hawajutii vizazi na mji wao kichakazwa. Huenda Kuna vitu vichafu wanalishwa
Mji au kambi ya mateso?

Wajutie kufa "shaheed"?

Unaajuwa maana ya "shaheed", tazama tofauti ya wafu mazayuni na "shaheed":

Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…