bin haroub
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 1,662
- 812
Sawa yahudi mweusi wa mazese kwa mfuga mbwa wamekusikiaIsrael endelea kupeleka moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa yahudi mweusi wa mazese kwa mfuga mbwa wamekusikiaIsrael endelea kupeleka moto
Sawa yahudi mweusi msemaji wa idf wa tawi la tandika kwa maguruwe wamekusikiaSema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.
Tatizo hawatabiriki,kuishi na watu kistaarabu hawawezi,wamezoea kuua watu.
This time wamekutana na wajomba wabishi wanalia lia tu,natamani wazayuni watembezee kichapo magaidi yote duniani.
Pole sana yahudi mweusi wa kiboshoWakipigwa wanaanza kuweka vitoto mbele.
Faiza jinsi ulivyowasilisha ni kama umechukua upande. Na unajua haya mambo yana cut across faith and religion. Akija mwingine hapa kwa huu uwasilishaji wako mtaanza lumbanaBrigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.
Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.
Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.
View attachment 2826940
Vipi kuhusu mateka Israel aliwaokoa wangapi?Hao makomandoo walikuwa wapi siku zote mpaka Mayahudi wanaingia Gaza yote na kujivinjari mpaka misikitini huku wakipiga selifie za dhihaka?
Kama wanajificha hao askari wa kiyahudi wanauliwa na nani?Wanaigiza tu hao vita vikianza wanajificha mashimoni kama panya wanawatumia watoto kama ngao kutafuta utetezi wa haki za binadamu tunataka vita vipiganwe bila kujificha ficha kwenye makazi ya raia
Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
Kwani kazi ya hizo ndege ni kuwinda ! Ni kupigana vita ili kupunguza nguvu ya adui. Kisha kumfukia na kumuangamiza. Idf imevuka mipaka yake na Gaza,sasa unaokaliwa Gaza , inaratibu shughuli za vita yao ikiwa gaza . Bado kichaa mmoja anasema hawajafanikiwa!Thubutu, mazayuni hawana hamu, hawawezi vita ya kiume ya uso kwa uso. wao ndege tu na wauwe watoto na wagonjwa mahospitali.
Unakwenda kupigana na magari ya chuma na watu amabao silaha anatengeneza uwani kwao? Na hivyo hivyo wakaliwa vifari vya zaidi ya 300, kinyume na mategemeo yao.
Mmeshindwa kumuomba Allah na Mudi awasaidie katika vita, Palestina imemegwa hadi hivi sasa mnahamishwa kwenye hako kaeneo kadogo kalikobakia....🤔🤔🤔Acha vitisho vya kitoto wewe mlokole.
Sasa hiyo Aya haisemi hivyo umebofoa kubali umebofoa acha ujuaji.. au tuamini tafsiri ipi ndo sahih?Huwa hatufanyi mchezo na Qur'an hata kama ni tafsiri.
Mayahudi na mafuasi yao wana taabu sanaaaSasa adui kama yupo angani wewe unataka wasimame tu ... Ashuke Kwa ground aone moto
Nenda kawasaidie mabwana zako wanachinjwa kama kuku Gaza na baso mpaka mseme.Mmeshindwa kumuomba Allah na Mudi awasaidie katika vita, Palestina imemegwa hadi hivi sasa mnahamishwa kwenye hako kaeneo kadogo kalikobakia....🤔🤔🤔
Ningewaona was maana kama wangelinda raia was Ghaza na Mali zao.Wewe watu wako elfu kumi na Tano na ushee wanauliwa hutoi Ulinzi halafu ceasefire inaanza unajitokeza unasema umeshinda vita.Shame on themHao wanatokea kama mizimu, usicheze nao kabisa. Unafanya mchezo vijana waliolisimamisha majeshi makali kabisa duniani, mazayuni wakisaidiwa na USA, Ujerumani na Uingereza?
View attachment 2827024
Mara makomandoo mara militiaHao militia hawana ndege wala kifaru wala gari za kivita, umesahau tarehe 7 Oktoba walifanya nini?
Wapalestina wanaagizia vitu vyao kwa mbali, tel aviv ilikuwa inawaka moto mpaka siku yaliposiytishwa mapigano. Hizbollah wanakiendeleza kesho.
Una kumbukumbu finyu sana.
Huwaoni walivyojitokeza mitaani? Au ndiyo roho inakuuma hapo? Ulifikiri wamemalizwa kwa kubomolewa nyumba zao?Ningewaona was maana kama wangelinda raia was Ghaza na Mali zao.Wewe watu wako elfu kumi na Tano na ushee wanauliwa hutoi Ulinzi halafu ceasefire inaanza unajitokeza unasema umeshinda vita.Shame on them
Dini ya kiislamu ni ya kishetani na aliyeianzisha ndio shetani mwenyewe mudy na aliwaua wayahudi kwa upanga zaidi ya mia sita eti kisa wamegoma kutoa kodi ambayo ingemuwezesha mudy kwenye mishe zake za kivita za jihadWenzako vita hii imesilimisha, askari wakizayuni mpaka wanaongea hovyo wanasema "hatuna hamu huko, tunapigana na mizimu"
Watuulize Waislam tutawaelimisha walikuwa wanapigana na nani. Jisomee hapa kama utalewa:
Qur'an 2:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
Taratibu kijana, sasa hivi tunaongelea ushindi wa kishindo huko Ghaza, jionee:Dini ya kiislamu ni ya kishetani na aliyeianzisha ndio shetani mwenyewe mudy na aliwaua wayahudi kwa upanga zaidi ya mia sita eti kisa wamegoma kutoa kodi ambayo ingemuwezesha mudy kwenye mishe zake za kivita za jihad