Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
WANAJESHI WA ISRAELI NI WAOGA.
Msemaji Mkuu wa Hamas, Abu Obeida anasema kwamba
Jeshi la Israeli linaogopa kupigana vita vya ana kwa ana na Hamas, ni waoga waliopindukia. Kitu pekee ambacho tumekigundua ni kwamba;
Jeshi la Israeli ndo Jeshi pekee duniani ambalo wanajeshi wake wanavaa taulo za watoto (Pampers) wakiogopa kupigana vita vya ana kwa ana.
Kila siku naongea hapa, Jeshi la Israeli ni UNGA TU 😂