Osama aache pisi Kali apige mashine kikongwe huyo?Imagine mtoa mada nae ni bikra mtarajiwa huko ahera 😂 Osama atajipigia knoma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Osama aache pisi Kali apige mashine kikongwe huyo?Imagine mtoa mada nae ni bikra mtarajiwa huko ahera 😂 Osama atajipigia knoma
Tatitizo lako unakuwa mpumbavu uliyekithiri unakaririshwa na media. Za magharib .Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.
Tatizo hawatabiriki,kuishi na watu kistaarabu hawawezi,wamezoea kuua watu.
This time wamekutana na wajomba wabishi wanalia lia tu,natamani wazayuni watembezee kichapo magaidi yote duniani.
Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.
Kama sieleweki tatizo ni uelewa wako, siyo mimi.Sasa mbona hueleweki mara useme hamas wanapiganiwa na mwenyezi mungu ni kama ghost tena unabadirika unasema hamas ni migambo tushike lipi kwamba nyinyi ni dhaifu au mnuwezo wa kupigana na yeyote?
13,000 wagonjwa, watoto na wazee, mazayuni wote ni wanajeshi, zaidi ya 3,000, hawasemi kweli tu.Wewe umerukwa na akili sio bure Israel wamekufa 1200 Gaza wamekufa za ya watu 13000 bado unaona hamas ndio washindi,haya mmepewa offer ya truce siku 2 ngoja muendelee kupelekewa moto muanze kuomba msaada mazayuni yasimamishwe.
Ijumaa sip mbali ,hiyo poo itakua imeisha kipondo kinarudi upya,Sheria na kanuniu za vita huruhusiwi kupiga hospitai hata kama kuna maadui ndani, wasubiri nje.
Washaamua kuendeleza mpaka mateka wote waishe, umelala wewe.Ijumaa sip mbali ,hiyo poo itakua imeisha kipondo kinarudi upya,
Usije kufukia kichwa mchangani tena huku umeyacha maboga yako juu.
Safari hii hakuna mswalie muddy.
kile kikundi kingine cha kipalestina cha islamic jihad kiko wapi? Naona hisbollah kinajititimua kikiwa huko lebanon. Fatah hao wameshakuwa watu wa amani hawataki vurugu wenyewe ni mazungumzo ya amani tu. Fatah ndio kikundi cha kistaarabu kinachotakiwa kitawale eneo lote la wapalestinaWashaamua kuendeleza mpaka mateka wote waishe, umelala wewe.
Muendelezo uliopo sasa hivi ni Hizbollah anasema yeye kusimamisha mapigo hakumuhusu. Ndiyo anaombwa sana atulizane.
Kwaiyo ni zaga ya Osama huko Akhera[emoji23][emoji23]Imagine mtoa mada nae ni bikra mtarajiwa huko ahera [emoji23] Osama atajipigia knoma
We ni mwehu,Hizbollah ndo walianza kupata kipigo kabla ya Gaza ulikua wapi?Hizbollah anasema yeye kusimamisha mapigo hakumuhusu. Ndiyo anaombwa sana atulizane.
Hawa vichaa Wala hawajutii vizazi na mji wao kichakazwa. Huenda Kuna vitu vichafu wanalishwaBrigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.
Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.
Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.
View attachment 2826940
Sasa adui kama yupo angani wewe unataka wasimame tu ... Ashuke Kwa ground aone motoWakianza tena kutandikwa wanakimbilia shimoni na kuanza kulia lia ceasefire,yani mnachekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]