Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Wakianza tena kutandikwa wanakimbilia shimoni na kuanza kulia lia ceasefire,yani mnachekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tuonyeshe wapi Hamasi aliomba ceasefire we akilini mwako unadhani ceasefire ingekuwepo kama Israel hakupokea kipigo kutoka kwa Hamasi

Hebu. Sikilize huyu officer wa jeshi la Israel anasema nini



View: https://youtu.be/Z9vJOypf4NU?si=WiObuXNlwQCR9oOP
 
T
tehe tehe nilivyosoma ati "wamevalia kikomando" kuangalia video sasa tehee heee aise maislamu bwana elimu haipatikani madrasa pekee enyi manyangau. Yani combat kama za migambo wa somalia hakuna millitary gear yoyote alafu wamevalia kofia kama za chama cha walimu
 
Sasa mbona Hamas wamejichimbia kwenye mashimo?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
sasa kama wanatumia watoto na wazee kama ngao na kinga yao kwa nini wasilipuliwe? Elewa kwamba vita ni mbaya sana
Hakuna mwanaume mwenye akili na uwezo wa kupigana na jeshi la mashoga anaeweza kuwatumia watoto na wazee vitani usidanganywe. Lengo lao kuuwa watoto , raia na kuharibu majengo ni kutaka ku pressure Hamas kusimamisha vita.
 
War monger.

Ombeeni amani hapo middle east.

Siyo Israel siyo Hamas, wote wamekosa ufahamu kwa kujiingiza kwenye vita inayotia doa ubinadamu wetu aote
 
Huwenda waliishi kwa upendo
 
Ifike wakati hii dini ipewe dunia yao maana hawataweza susa
 
Two dozens wamekuwa madazeni!!!!??? Kama we si hayawani wa dini yetu basi utakuwa na mahaba yasiyokifani na Hamas.
 
Ulitaka wakae wanasubiri?

Watu wanawasubiri uso kwa uso, siyo kutuma mambomu kutoka meli za wamarekani.
Msako unafanyika mahospitalini, magonjwa wanaondolewa wanatoka wakitembea kwa miguu, vitoto njiti vinatolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…