Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Madazeni ya wapiganaji wa Brigedia ya Qassam Imejitokeza katikati ya Ghaza kwenye viwanja vya Mashujaa wa vita

Wakianza tena kutandikwa wanakimbilia shimoni na kuanza kulia lia ceasefire,yani mnachekeshaga sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
We tuonyeshe wapi Hamasi aliomba ceasefire we akilini mwako unadhani ceasefire ingekuwepo kama Israel hakupokea kipigo kutoka kwa Hamasi

Hebu. Sikilize huyu officer wa jeshi la Israel anasema nini



View: https://youtu.be/Z9vJOypf4NU?si=WiObuXNlwQCR9oOP
 
T
Brigedia ya Qassam, kitengo cha makomandoo wa Ghaza walioongoza mashambulizi ya kipekee kuwahi kutokea israel na kuchukuwa mateka kutokea ndani ya Israel na kuja na Ghaza kibabe. Pia ndiyo waliokuwa mstari wa mbele kukabiliana na majeshi ya Israel kwa siku 48 kabla ya mapoigano kusimamishwa, ikumbukwe kuwa haya ndiyo mapigano marefu katika historia ya israel toka ilipoanzishwa mwaka 1948.

Walijitokeza wakati wa kuwawachia mateka wa mwisho kwa makubaliano ya awali ya kuwawachia mateka 50. Wamejitokeza wakiwa wamevaa "combat" zao maarufu ikiwa ni ishara ya kuonesha ushujaa wao na kuwajulisha mazayuni kuwa bado wapo na wapo tayari kulianzisha tena wakati wowote.

Hamas' Al-Qassam Brigades released a video of its fighters handing over Israeli hostages to Red Cross in Gaza City. The video shows at least two dozen fighters in the central part of the city handing over hostages to Red Cross amid purported cheering for 'resistance' from the Palestinians in the besieged enclave. Watch the video for more details.

View attachment 2826940
tehe tehe nilivyosoma ati "wamevalia kikomando" kuangalia video sasa tehee heee aise maislamu bwana elimu haipatikani madrasa pekee enyi manyangau. Yani combat kama za migambo wa somalia hakuna millitary gear yoyote alafu wamevalia kofia kama za chama cha walimu
 
Wenzako vita hii imesilimisha, askari wakizayuni mpaka wanaongea hovyo wanasema "hatuna hamu huko, tunapigana na mizimu"

Watuulize Waislam tutawaelimisha walikuwa wanapigana na nani. Jisomee hapa kama utalewa:

Qur'an 2:169. Wala kabisa usiwadhanie walio uliwa katika Njia ya Mwenyezi Mungu kuwa ni maiti. Bali hao ni wahai, wanaruzukiwa kwa Mola wao Mlezi. 169
Sasa mbona Hamas wamejichimbia kwenye mashimo?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
sasa kama wanatumia watoto na wazee kama ngao na kinga yao kwa nini wasilipuliwe? Elewa kwamba vita ni mbaya sana
Hakuna mwanaume mwenye akili na uwezo wa kupigana na jeshi la mashoga anaeweza kuwatumia watoto na wazee vitani usidanganywe. Lengo lao kuuwa watoto , raia na kuharibu majengo ni kutaka ku pressure Hamas kusimamisha vita.
 
Thubutu, mazayuni hawana hamu, hawawezi vita ya kiume ya uso kwa uso. wao ndege tu na wauwe watoto na wagonjwa mahospitali.

Unakwenda kupigana na magari ya chuma na watu amabao silaha anatengeneza uwani kwao? Na hivyo hivyo wakaliwa vifari vya zaidi ya 300, kinyume na mategemeo yao.
War monger.

Ombeeni amani hapo middle east.

Siyo Israel siyo Hamas, wote wamekosa ufahamu kwa kujiingiza kwenye vita inayotia doa ubinadamu wetu aote
 
Sema nimependa hapo magaidi ya hamasi yanaonesha upendo,yani wanaaga kabisa mateka.

Tatizo hawatabiriki,kuishi na watu kistaarabu hawawezi,wamezoea kuua watu.

This time wamekutana na wajomba wabishi wanalia lia tu,natamani wazayuni watembezee kichapo magaidi yote duniani.
Huwenda waliishi kwa upendo
 
Ifike wakati hii dini ipewe dunia yao maana hawataweza susa
20231128_104116.jpg
 
Two dozens wamekuwa madazeni!!!!??? Kama we si hayawani wa dini yetu basi utakuwa na mahaba yasiyokifani na Hamas.
 
Ulitaka wakae wanasubiri?

Watu wanawasubiri uso kwa uso, siyo kutuma mambomu kutoka meli za wamarekani.
Msako unafanyika mahospitalini, magonjwa wanaondolewa wanatoka wakitembea kwa miguu, vitoto njiti vinatolewa.
 
Back
Top Bottom