"Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88

Hapo kwenye aircraft carrier, hiyo 👆 aliuziwa na Russian federation, china kaja kaifanyia modification Tu,
Hata wind turbine engine generater kinatengenezwa Germany,SEMA china Ndio customer mkubwa
 
Naona hata pro NATO wameufyata .Aisee ujue china kabla ya wananchi kuingia kwenye industry serikali huwa inakuwa imeshatangulia angalia state owned company mfano faw, xcmg, how, dongfeng, comac zinatangulia kwanza kusafisha njia ndio private ndo zinaibuka. Huku kwetu maviongozi hata bandari yameshindwa kuendesha.
 
Aircraft carrier juzi tu hapa wametengeneza nyingine.

Wewe utakuwa unazungumzia habari za miaka mingi sana iliyopita
 
Hapo kwenye aircraft carrier, hiyo 👆 aliuziwa na Russian federation, china kaja kaifanyia modification Tu,
Hata wind turbine engine generater kinatengenezwa Germany,SEMA china Ndio customer mkubwa
Wewe unaongelea habari za miaka mingi sana iliyopita wakati mambo yamebadilika sana tu
 
Hapo kwenye aircraft carrier, hiyo 👆 aliuziwa na Russian federation, china kaja kaifanyia modification Tu,
China wana aircraft carriers 3
●Liaoning
●Shandong
●Fujian

Kwenye uzi zimezungumziwa 2
●Shandong
●Fujian

Kwa nini?

Kwa sababu ile ya kwanza Liaoning inajulikana kuwa waliinunua kutoka Russia na kuifanyia modification

Ila hizi 2 Shandong na Fujian ni Made in China

Kutegemea kuwa Tanzania hii kuna siku tutawaza hayo huko ni kujidanganya kabisa. Shida kubwa ya Tanzania ni hii CCM. Mchawi wa Tanzania ni CCM maana hicho ndio kiwanda cha kuzalisha viongozi wa kuja kututawala. Na mtaji mkubwa wa CCM ni ujinga, unyonge na umaskini wa watanzania.
 
Naona hata pro NATO wameufyata .Aisee ujue china kabla ya wananchi kuingia kwenye industry serikali huwa inakuwa imeshatangulia angalia state owned company mfano faw, xcmg, how, dongfeng, comac zinatangulia kwanza kusafisha njia ndio private ndo zinaibuka. Huku kwetu maviongozi hata bandari yameshindwa kuendesha.
China State Shipbuilding Corporation (CSSC)

Serikali inaweka mfano kwanza

Wachina wamejipata sana kwenye huu mfumo wa state owned corporation
 
Siku huyo mtu akitokea hapa Tanzania ndio siku tutatoka kwenye hili tope lililotugandisha kwa miaka zaidi ya 60 bila kwenda popote Economically wala Technologically. Wakati nchi tulizopatanazo uhuru zikiwa mbali nasi kwa millions of miles kila sekta.
Lets hope so tunamuhitaji mtu huyo mwenye uthubutu
 
Back
Top Bottom