"Made in China 2025" Mpango wa China wa kujitegemea kiteknolojia wafikia asilimia 88

Sasa hivi wenzetu wako kwenye industry 4.0 (the fourth industrial revolution)

Kila kitu ni Internet of Things (IoT), AI, big data, cloud, cyber physical systems, the intelligent factory

Tunapoona wenzetu wamewekeza kwenye aerospace, software ni kwa ajili hizo mambo

Leo tunaona Mchina au Tesla anatengeneza gari Full Self Driving (FSD) wengine wanajiuliza lile gari linawezaje kujiongoza bila dereva?

Kumbe mambo mengi yanahusika that's what we call industry 4.0
 
Kaka kuna kipengele nitasema kitu, harmony os haija knock apple ios kwenye soko la dunia, hawajafikia hata one ui ya samsung yet. Ukiniambia kwa soko la china maybe, but kwenye soko la dunia wanasafari ndefu, akina android na ios ni top level currently na hawa wanazid ku develop wvery year
 
Hakuna mahali imesemwa Harmony OS imeteka soko la dunia ni upande wa China na hii ni kwa ajili ya tech war

Ila ikumbukwe HUAWEI wanafanya shipment ya bidhaa zao kama smartphones na laptop zenye Harmony OS hivyo inafanya izidi kutambulika

Pia baadhi ya kampuni za EVs za China kama AITO wanatumia Harmony OS na hii ni moja ya kampuni inayo-export magari kutoka China kwenda sehemu mbalimbali duniani

Kwa hiyo inazidi kuwa introduced kwa watumiaji

Slow but sure inasogea
 
Nakumbuka tukiwa sekondari vitabu vya Geography viliandika Ship Building ni Japan

Na moja ya challenge ni stiff competition from South Korea and China

Ila sasa hivi mambo yamebadilika China ni wa kwanza

Sasa sijajua kwa sasa mabadiliko kwenye syllabus iwe Ship Building ni China yamefanyika?

Au bado madogo wanakaririshwa Ship building in Japan
 
Baada ya mataifa ya magharibi kuyazuia makampuni yao ku supply hizi machine kwa Wachina, serikali ilibidi i team up na vyuo vikuu vya teknolojia na makampuni ya ujenzi wakatengeneza TBM yao ya kwanza miaka ya 60 na ikaja kuwa tested miaka ya 70.
Kweli na sasa Wachina ndio wana TBM kubwa sana na bora kuliko hata za West
 
So hawa jamaa hawakubali kuwa wanyonge. Ukiwawekea vikwazo unawa boost kufanya vizuri zaidi.
Ni bora Mchina usimwekee vikwazo

Ukimwekea ndio unampa morale zaidi atengeneze kile unambania

Nakumbuka maneno ya CEO wa HUAWEI wakati wanapitia kipindi kigumu sana cha vita ya kitrknolojia kutoka Marekani, alisema:

Ren Zhengfei:If you don't sell your product to a company, you are actually forcing it to make a similar product one day, and you will not be able to sell your product any longer.”
 
Moja ya chuo pendwa cha Sci-tech na engineering ni Tsinghua University

TBM zimewasaidia sana kujenga chap kwa haraka reli hasa maeneo yenye undersea high speed rail tunnels

Waliwabania ona sasa China alichowafanya

China makes 70% of the world's TBM, including the most core component, the central shaft bearings
 
Japan, South Korea wakiacha kuwa US vassal states watakuwa mbali sana.

Ila wamekubali Marekani awe bwana mkubwa wao

Watazidi kubaki hapo au kupigwa gap zaidi

Watafiti wanasema huenda India ikaizidi Japan in terms of nominal GDP ndani ya miaka 2 au 3 ijayo
 
Rising Dragon 🐲 🐲
 
Nini kifanyike ili tuondoe hii laana?
Hii Kitu Kuja kuitoa Sio swala Dogo ni Kitu Cha Asili ambacho kipo Ndani ya mioyo ya Watu Wengi kimejita Mizizi wanafikili huu Umaskini ambao wameukuta kama Umetoka Kwa Mungu Kumbe Sio Kweli utajili upo Tena upo Kweli kweli Watu wakibadilishwa mind set Zao na kuwa waanifu Kwenye mamlaka wanazopewa kuongoza
 
In 2015, China launched an ambitious industrial policy plan named "Made in China 2025".

The plan has been a massive success. China has become a global leader in five key technology areas, and is competitive in several others.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…