Mhaya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2023
- 1,831
- 5,489
Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako;
"Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣"
Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha wakristo ndio watenda dhambi au wazinifu. Kwamba alichokitenda manara cha kwenda Maka na kurudi kuzini ni sawa na kitendo cha kikristo.
Wewe ni msanii na Movie zako zinaangaliwa na watu wa Dini zote, kuleta kauli za aina hii ni kuchochea ubaguzi wa kidini, jambo ambalo halina afya kwa taifa. Mmeona yanayotokea huko Israel kisa Dini. Sasa ndugu zanguni ubaguzi huu msiulete TANZANIA. Vita na ubaguzi wa kidini viogopeni kama ukoma, maana mwisho wake ni mbaya alisema Nyerere. Dini zenyewe zimeletwa na majahazi alafu unakuja hapa kukashifu dini za wenzako, huo si uungwana unapaswa kuomba radhi. Ulikuwa na uwezo wa kufikisha ujumbe wako bila kutaja wakristo