Night Watch
JF-Expert Member
- Apr 4, 2017
- 2,092
- 2,126
Mimi nadhani wewe ndio umemuelewa vibaya ndugu Madebe........
Hakuusema ukristo kwa nasaba ya udhinifu la hasha bali ametoa Rai ya kwamba usiweke matazamio au matarajio sana kwenye jambo ulilolizoea na kuzama huko..... kwani hata Maka ambako kunaaminika kuwa ni ngome ya uislamu unaweza kumkuta mkristo.......sio kwamba anafanya mabaya pengine ameenda kutalii tu.......
NB:
Huo ni mtazamo wangu tu
Naungana na wewe,hiki ndicho kamaanisha Madebe. Nimejaribu kusoma nilichoelewa ni kama useme Moshi wanakaa wachaga ila haimaanishi kwamba hakuna Msukuma anaeishi Moshi,ukija kwenye muktadha wa Madebe Makha ambayo ipo Saudia ni mji wa kiislamu ila sio ajabu ukakuta Mkristo anaishi Makha.