Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

Hebu tuliza makende yako wewe,ni lini Papa Francis alisema hivyo?

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Kuna mbaba jiran apa wanaish na mwanamke wanamiaka zaid ya 10 na mwakan nd wanafunga ndoa

Sasa huu wakat kabla ya ndoa INAMAANA WANAZINI AMA?

Hii ni kawaid kw wakiristo kuishi bila ndoa
 
Tunaelekea 2024 bado kuna watu wanagombana kisa dini
 
Ibrahim ni mkurdi na sio myahudi.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Warumi 11:1
1 Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini.
Ibrahimu ni muisrael (myahudi). Biblia ilianza ikafuata Quran
 
Waigizaji wengi wa bongo ni zero brain, huyu ni mmojawapo
 
ujinga mtupu, hija kwenyewe kuna mungu gani kule kama si ibada ya sanamu? Ni sawa na kupiga upepo, hakuna utakatifu kule
 
Warumi 11
1 Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini.
Jina Israeli lilianza wakati wa Yakobo, mjukuu wa Ibrahim. Ibrahim atakuwaje wa taifa lililokuja baada yake?
 
Hiyo ni comedy, get a life.
 
Mimi nadhani wewe ndio umemuelewa vibaya ndugu Madebe........
Hakuusema ukristo kwa nasaba ya udhinifu la hasha bali ametoa Rai ya kwamba usiweke matazamio au matarajio sana kwenye jambo ulilolizoea na kuzama huko..... kwani hata Maka ambako kunaaminika kuwa ni ngome ya uislamu unaweza kumkuta mkristo.......sio kwamba anafanya mabaya pengine ameenda kutalii tu.......

NB:
Huo ni mtazamo wangu tu
 
Warumi 11:1
1 Basi, nauliza, Je! Mungu aliwasukumia mbali watu wake? Hasha! Kwa kuwa mimi nami ni Mwisraeli, mmoja wa wazao wa Ibrahimu, mtu wa kabila ya Benyamini.
Ibrahimu ni muisrael (myahudi). Biblia ilianza ikafuata Quran
Acha ubishi Ibrahim ni mkurdi kutoka Iraq ambaye alihama kutoka Iraq na akahamia na kuja kuishi kwenye eneo mbalo kwa sasa linajulikana kama gaza.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…