Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo


Naungana na wewe,hiki ndicho kamaanisha Madebe. Nimejaribu kusoma nilichoelewa ni kama useme Moshi wanakaa wachaga ila haimaanishi kwamba hakuna Msukuma anaeishi Moshi,ukija kwenye muktadha wa Madebe Makha ambayo ipo Saudia ni mji wa kiislamu ila sio ajabu ukakuta Mkristo anaishi Makha.
 
Nyinyi mkiguswa kidogo makelele kobao mpaka mnatangaza fatwa.
 
Ndio nani huyu? Anaonekana ni mfuasi kindakindaki wa munyaazi mungu kwahiyo hakuna jipya hapo
 
Acha kelele kafiri wewe,

Nenda ukabarikiwe,Papa amesha toa ruhusa.
wengine hatuhusiki na papa fahamu hilo. By the wayo na nyie waislam mnakutwa na mpango mpya wa ulimwengu hamtasalimika na sekeseke hilo. Tena nyie ndio mmebugizwa ndoana kali, ni suala la muda tu mtalia kilio na kusaga meno. Kaeni tayari kunyolewa wakati mkiwazodoa wakatoliki nanyi zamu yenu inafuata
 
Rubbish.
 
....Wewe SIO Mkrusto, Kwa kuona Kauli ni ya Kawaida ! Pole.



Sent from my TECNO BD4j using JamiiForums mobile app
usijipe stress zisizo na msing maisha ni hayahaya mara paa umekufa unajikuta umezaliwa nguruwe kwenye sayar ya jupiter afu ngurue wenzako wanakwambia never no give up
 
Nani amekwambia kuwa vita ya Palestina na Israel ni ya kidini ?
 
Nani amekwambia kuwa vita ya Palestina na Israel ni ya kidini ?
Kwani nini wanakombania Misikiti na masinagogi... Israel wanaamini hiyo ni ardhi yao waliyopewa na MUNGU, wapalestina nao wanasema Manabii wao walipewa hiyo ardhi, na ni mali yao toka enzi

Vita ya Palestina na Israel, ni ya Kijeografia, Kisiasa na kidini... Vyote hivyo vinachochea vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…