Uchaguzi 2020 Madee adai marafiki wanamshawishi akagombee ubunge Kongwa na Dogo janja kugombea Arusha mjini

Unaweza kuta Zitto, Lema au Bashe (kabla ya uwaziri) wanatoa positive criticism.

Mara tu linaibuka jitu kuondoa flaw.

Mmbunge wa CCM: Taarifa, taarifa mh spika

Spika: Mh Zitto pokea taarifa

Mmbunge wa CCM: Napenda kumkumbusha msemaji serikali ya CCM imefanya abc (to do with pumba zilizo kichwani kwake).

Mara baada ya taarifa, wabunge wote wa CCM wanaibuka kwa shangwe nakugonga meza. Mwingine tena anaibuka taarifa, taarifa mh spika (hapo sasa ndio wafuatiliaji wengine unaona bora utafute kingine cha kuangalia kuliko upuuzi wa bungeni).

Sasa si kila mtu anaweza hiyo kazi kwa mshahara wa millioni 12 kwa mwezi na marupurupu juu.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa katika miaka mitano ya mwqnzo ya serikali ya awamu ya Tano, ni wanasiasa tuu hasa Wabunge waliokula keki ya Taifa. Sasa kila Mmoja anatamani awe mbunge. Imagine Dogo janja awe mbunge, hayo si matusi kwa utawala jamani? Hawa wasanii wadhibiyiwe, wataidhalilisha siasa ya Tanzania.
 
Dogo janja shule form 2 alifeli ataongoza nini?
 
Kagombee wewe.usiongelee wenzio
 
Katiba na sheria zimewakataa?
 
Sugu yuko vizuri kwenye hoja! Hoja zake zina mashiko na haogopi kusema anachokiamini. Namuamini Sugu kuliko Nchemba shemegi yangu mwenye Phd.

Sijui Sugu kawafanyia nini jimboni lake lakini ninapopata bahatinya kusikia hoja zake basi naamini kuwa kalifanyia mengi hili Taifa kwa utetezi wake eule wa wanyonge na haki za binadamu. Sifikirii kama anaweza kufanya zaidi ya hayo under the current circumstances!
 
umesema kweli tupu, huu ni mpango maalum wa kunyoosha nchi!
Na kwa bahati mbaya, stress zikikuzidia alaf ukose wa kukusupport ktk ugumu ulionao, hapo ndipo unapoanza kufanya matukio unayojisikia kufanya, hata kama hayana mwelekeo mzuri.
 
CCM na CDM ndio wameharibu kabisa hadhi ya ubunge Tanzania. Zama za mzee wa msoga kila mtu mwenyesifa na asiye na sifa aliweza kuwa mbungu. CDM wao wameharibu kbs kwenye viti maalum kuna watu wameingizwa mpk unajiuliza hata huyu. Ila kwa Jembe kuna vijana wengi sana wanakimbilia Ubunge ngoja waje na ngeu vichwani. Kupitia CCM japo sio mwanachama ila naamini italeta mageuzi katika kupata Wabunge.
 
Hapo unapoteza nguvu zako.
Ccm ndio imetuleta huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…