johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #41
Kwani siasa ni nini bwashee?hawa wasanii wa bongo wanazani siasaa ni sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani siasa ni nini bwashee?hawa wasanii wa bongo wanazani siasaa ni sanaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa CCM anatosha sana huyoDogo janja shule form 2 alifeli ataongoza nini?
Bandiko kama hili likiwahusu sugu na jay litapendeza piaHii nchi inaenda kuwa ya kipumbavu sana yani watu wanavaa hereni, kufuga rasita na kuvaa suluari chini ya makario kama Dogo Janja, Hamornaze, Diamond Wawe Wabunge? huu sasa utoto.
Kuwatumikia wananchi sio lazima uwe maarufu au uwe na pesa au uwe masikini au uwe na elimu kinachotakiwa umeshafanya nini kwa jamii mpaka unataka kuwa mbunge?
Maisha yamekuwa magumu mnaenda kutafuta pesa za ubunge me nadhani kipimo cha mtu kupewa ubunge apimwe kwanza ameifanyia nini jamii kwa kipindi kabla ajaingia. Sio wakina Mwana Fa, Dogo Janja Au Madee Kutwa Kucha Wapo Dar Hata shida za Kongwa, Tanga Na Arusha hawazijuwi.
Mwambie Madee na Dogo Janja kuna Ujumbe wao Kutoka kwa Dr Christopher Cyrilo:-Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai.
Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi na kumpongeza Rais Magufuli kwa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka 5 ya mwanzo.
Chanzo: Clouds media.
Maendeleo hayana vyama!
Ndiyo maana yake.Sifa ya mbunge ni kujua Kusoma na Kuandika ambazo wasanii wote wanazo!
Tena safari hii awagonge na watakaomsaidia majeruhi.dungai andaa fimbo, akija ugonge ya kichwa *****!
Huyo Madee ajiandae kisaikolojia kweli kweli maana bwana Job huwa hataki mzaha kabisa.Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai.
Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia wananchi na kumpongeza Rais Magufuli kwa kazi kubwa aliyoifanya katika miaka 5 ya mwanzo.
Chanzo: Clouds media.
Maendeleo hayana vyama!
CCM ata PhD za kubumba mtu alinunua jina darasa la 7 leo phd na waziriKwa CCM anatosha sana huyo
Ameshapata uyoAmbaruty naye anaenda kugombea jimbo la Mtera kupitia CCM
Huyo mungu atakuwa hana kazi ya kufanya?Mungu kamuotesha madee
Wenzetu wana mungu wao siyo Mungu huyu muumba wa mbingu na nchi.Huyo mungu atakuwa hana kazi ya kufanya?
master J na wewe nani mjinga mkuu?CCM ndiyo inapenda wagombea na mibunge mijinga mijinga kama made, diamond, masterj na yule mmakonde
Ndo upumbavu wanaowaza, nahisi huko mbeleni kila msanii atakuwa anagombea sababu tu anajua kushika maikiHivi kugombea nafasi za uwakilishi kama majimboni zinataka umaarufu au elimu pia ni muhimu, discipline, na dedication... Sio kwasababu unajua kuimba tu bas
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dungai andaa fimbo, akija ugonge ya kichwa *****!
AiseeTena akienda Kongwa ajipange haswaa....Ndugai 2015 alileta waganga 3 toka Senegal, jamaa alikuwa akitoka nao uck na kuizunguka Kongwa (Jimbo) yote..