Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Nakazia👏🏾
 
Mlee mtoto katika njia impasayo, naye hatoiacha hata atakapokuwa Mzee.

Mithali 22:6

Ujumbe wetu Wazazi kutoka kwenye hekima za mfalme suleiman Kitabu cha Mithali

Sura imehifadhiwa kwa sababu za kimaadili (?)


Rais wa Manzese, Madee amekabidhiwa rasmi mwanae wa kike kuishi naye.

Madee akiwa amemfuata mtoto wake shule
Akizungumzana Bongo5 leo, Madee alisema mtoto huyo alikaa kwa mama yake kwakuwa umri wa kukabidhiwa ulikuwa haujafika.

“Unajua yule ni mtoto wangu na sikuwa nae kwa sababu alikuwa hajafika umri wa kukadhiwa ili niweze kukaa naye. Na sheria yetu inasema mpaka miaka 8, mama yake anakaa kwake na mimi nakaa kwangu.

Kwahiyo muda mwingi sana alikuwa na mama yake ila baada ya kutimiza umri kukabidhiwa na kuweza kukaa naye ndo umefika. Sasa hivi nipo naye, nafurahi sana.”

Hii ni taarifa ya mwaka 2015
 
Watoto wa kiswazi ndivyo walivyo......nadhangaa mnaosumbua vichwa bure
 
mimi kama baba na mlezi nimeguswa sana na hili tukio.

naungana na wazazi wote wastaarabu kumpa pole Madee. pole sana kaka.
 
Maana ake ni kwamba amezaliwa mwaka 2007 duh

U can c 4 urself from the picture. Madee was seemingly a very proud dad kwa sababu dogo alikuwa bado mtoto.

But now amesha onja utamu wa tunda she can never be the same and he can never be the same.

Wanakujaga kujirudi wakifikisha miaka 20-25 hivi..


Kwa kashfa hii sidhani kama madee atakuwa proud kupiga picha na mtoto wake.


Halafu unaweza kukuta analiwa na muhuni bodaboda tena wa hapo hapo mtaani ili kumchoresha dingi vizuri

.
Mtaani watu wanakuwa like " fala wewe unahangaika kutoa mamilioni kusomesha toto lako la kike wahuni wanaakula hadi jicho"
 
Haya mambo ni magumu sana. Ila kuna umuhimu wa kuendelea kuwa "Dingi" badala ya kuwa "Dady:
Acha watuite "Daddy" ila upande wetu acha tukamae na tuendelee kuwa "Madingi" tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…