Madee my brother, pole sana kwa issue ya picha mbaya za binti yako

Jana nimesoma ule uzi wa mtoto wa Shetta sikuelewa lengo lako Likud, leo tena nimesoma huu uzi sijaelewa exactly unachotaka kuhamasisha.

Hautaki watu wawe proud na watoto wao wa kike? Mkuu kuna mahali umetelekeza mtoto wa kike Kwahiyo unajaribu kuwapaint kwa ubaya ili kujustify ulichofanya?

Coz honestly, what the big deal? Mbona watoto wanaharibika kila leo?
 
Hakika mkuu umekuwa mtu wa maono na msema kweli daima ni wengi tunaofahamu kipaji chako hiki

Ubarikiwe

Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
 
katika suala la picha hasa wakati wa faragha saa zingine tunajitakiaga tu, kwa kuwa waaminifu wenye mapenzi motomoto yaliyopitiliza kwa wenzi wetu ....
For politicians,
Make sure you take full control and authority over every electronic materials within faragha room, la sivyo you might be a victim kwa kujua au kutokujua ..

Pole kwa walio wahi kukukumbwa na kasumba hii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…