Mademu bandia wa ELON MUSK marobot wawa gumzo Duniani

Kama yanaweza kulea mtoto na kuupika chakula na kusafishwa nyumba ,housigeli atakuwa Hilo dude
 
Nitaoa tu! Mtoto mmoja wa kitasha maana I love cold blood at all, Nyinyi wakienyeji mnazingua sana halafu hamporeal sijui kwa nini...Mko after money kwelikweli...
Mi hela ninazo zangu ila siku mpenz akijisikia kunipa huwa inafurahisha sanaaa๐Ÿคฃ
Then kuku wa kienyeji mim Im the realiest thing ever.
 
Sina cha kusema coz inaonekana ushaamua.
Nasubiri uniletee hao mashangaz point five(chotara) niringishie mashoga zangu.
 
Viwajomba vyakovitakua vyeusiiiii tiii wakikaa na hao wa kwako weupe peee sijui itakuaje๐Ÿคฃ
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wajomba zangu ni weupe uzuri mmoja kwetu rangi nyeupe ni asili kutoka upande wa mama...๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Namaanisha wajomba zako kutoka kwangu mim dada yako ndo.vitakua vyeusi tii๐Ÿคฃ
Ooh! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ so unasema wewe blackbeauty hiyo safi once nilipenda sana wadada weusi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wanavutia sana kama alivyo lupita Kenyan lady
 
Ooh! ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ so unasema wewe blackbeauty hiyo safi once nilipenda sana wadada weusi ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ wanavutia sana kama alivyo lupita Kenyan lady
Mimi sio mweusi bestie๐Ÿคฃ.
Ila vitoto vyangu najua vitakua vyeusi๐Ÿคฃ
 
Serekali ione namna ya kuyasambaza hayo maroboti kwa raia wake, hii ni huduma muhimu na ya dharura kuondoa invoices and mizinga ya kudumu
Pia itakuwa njia nzur ya kupunguza maambukiz ya U.T.I na HVI

Pesa ya kununua sina ila nataman waweke sehemu tuwe tunaenda kuyakodi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ